Martin Mwanje
Kenya Kwanza yataja timu itakayoshiriki mazungumzo na Azimio
Utawala wa Kenya Kwanza umetaja timu ya watu watano watakaoshiriki mazuungumzo na muungano wa upinzani wa Azimio.
Timu hiyo itakayoongozwa na kiongozi wa wengi katika...
Wakulima wa mahindi kupata mavuno mengi, asema Waziri Linturi
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi anasema wakulima kote nchini wanatarajia kupata mavuno mengi kufuatia usambazaji uliofanikiwa wa mbolea ya bei nafuu uliofanywa na serikali.
Linturi...
Urusi yataka NATO kutoshiriki mkutano wa maandalizi ya mapitio ya NPT
Wajumbe wanaohudhuria mkutano wa maandalizi ya Mkutano wa Mapitio wa Mwaka 2026 wa Mkataba wa Kuzuia Ueneaji wa Silaha za Nyuklia, NPT unaofanyika nchini...
CBC: Rais Ruto akabidhiwa ripoti, KICD yatakiwa kupunguza idadi ya masomo
Taasisi ya Maendeleo ya Mitaala Nchini, KICD imetakiwa kupunguza idadi ya masomo yanayotolewa chini ya mfumo wa umilisi, CBC.
Wizara ya Elimu nayo imetakiwa kuanzisha...
Watu 2 wafariki, takriban 10 wajeruhiwa kwenye shambulizi Lamu
Watu wawili wamethibitishwa kufariki kutokana na shambulizi lililotekelezwa na wanaoshukiwa kuwa magaidi waliowashambulia wasafiri kwenye barabara kuu ya Lamu-Witu-Garisen katika eneo la Lango la...
Rais Ruto: Ni lazima tulinde rasilimali za umma
Rais William Ruto amesema atajibidiisha kulinda rasilimali za umma.
Amesema hali itakuwa si hali tena kwa watumishi wa umma wenye tabia ya kutumia vibaya rasilimali...
Gachagua: Tuko tayari kushirikiana na jamii zote
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesisitiza umuhimu wa kuendelea kushirikiana na makundi mbalimbali kwa kusudi la kuhakikisha uwasilishaji wa ajenda ya serikali na kusikia moja...
Serikali kuanza ukarabati wa maghala ya NCPB kote nchini
Serikali hivi karibuni itaanza ukarabati wa maghala ya Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao, NCPB kote nchini. Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix...
Ruto: Waliopanga maandamano wanapaswa kuwaomba Wakenya msamaha
Rais William Ruto amewataka waliopanga maandamano ya hivi karibuni kuwaomba Wakenya msamaha.
Amesema ni ukosefu wa uaminifu kwa upinzani kusingizia kujali maslahi ya watu ilhali...
Agizo lililozuia utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023 laondolewa
Mahakama ya Rufaa imeondoa agizo lililozuia utekelezaji wa Sheria ya Fedha ya Mwaka 2023.
Agizo hilo lilikuwa limewekwa na Mahakama Kuu.
Hata hivyo, Mahakama ya Rufaa...