Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
741 POSTS 0 COMMENTS

Angalau maafisa 4,000 kutoa usalama wakati wa Mkutano wa Tabia Nchi...

0
Maafisa wa usalama wasiopungua 4,000 watakaa chonjo kuhakikisha usalama wa wote watakaohudhuria Mkutano wa Tabia Nchi wa Afrika.  Mkutano huo utafanyika katika Jumba la Mikutano...

Rais Ruto afanya ziara ya kushtukiza JKIA

0
Rais William Ruto jana Jumatatu alifanya ziara ya kushtukiza katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta, JKIA.  Ruto alifika uwanjani hapo wakati akimuaga...

Magunia milioni 61 ya mahindi kuvunwa mwaka huu, asema Rais Ruto.

0
Idadi ya mahindi yanayotarajiwa kuvunwa mwaka huu kote nchini ni magunia milioni 61.  Hili litakuwa ongezeko la magunia milioni 17 ikilinganishwa na magunia milioni 44...

Ruto: Ili kuvutia wawekezaji, Afrika isichukuliwe kama mahali hatari pa kuwekeza

0
Rais William Ruto amesema mabadiliko katika mfumo wa kimataifa wa fedha yatasaidia kuongeza imani ya uwekezaji barani Afrika. Rais Ruto amesema kuichukulia Afrika kama bara...

Ruto: Waliofuja fedha za ufadhili wa masomo Uasin Gishu wazirejeshe la...

0
Yeyote aliyefuja fuja fedha za mpango wa ufadhili wa masomo ya wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu katika nchi za Canada na Ufini lazima...

Mahakama yatoa kibali cha kukamatwa kwa Seneta Mandago

0
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago ametakiwa kujisalimisha kwa polisi. Hii ni baada ya mahakama ya Nakuru kutoa kibali cha kukamatwa kwake. Mandago anatuhumiwa...

Bunge la Taifa labuni kamati ya pamoja kuchunguza shughuli za Worldcoin

0
Bunge la Taifa limebuni kamati ya pamoja ya wabunge 15 itakayochunguza shughuli za kampuni ya Worldcoin humu nchini.  Spika Moses Wetang'ula anasema kamati hiyo inatarajiwa...

Mazungumzo ya Upatanisho: Timu za Kenya Kwanza na Azimio zakutana

0
Timu za utawala wa Kenya Kwanza na muungano wa upinzani wa Azimio zilikutana Bomas of Kenya leo Jumatatu na kukubaliana juu ya kuundwa rasmi...

Kenya, UNDP kushirikiana kuzindua kitambulisho cha kidijitali

0
Kenya na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa, UNDP zimetia saini Makubaliano ya Maelewano ambapo UNDP itasaidia nchi hiyo katika uzinduzi uliopangwa wa...

Wizara ya Afya yazindua sensa ya vituo vya afya nchini

0
Wizara ya Afya leo Jumatatu imezindua sensa ya vituo vya afya kote nchini.  Wizara inasema sensa hiyo itakayofanywa kwa muda wa wiki mbili itakuwa muhimu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS