Martin Mwanje
Mpango ulioboreshwa wa Linda Mama kurejeshwa, asema Katibu Muthoni
Katibu katika Idara ya Afya ya Umma Mary Muthoni amesema serikali imekusudia kurejesha mpango wa Linda Mama.
Amesema mpango huo utakuwa na mafao yaliyoboreshwa kwa...
Wakenya wanaoishi Lebanon watakiwa kujisajili haraka ili kuhamishwa
Serikali imewataka Wakenya wanaoishi nchini Lebanon kujisajili haraka ili kuwezesha kuhamishwa kwao kutoka nchini humo.
Wanaotaka kujisajili wanaweza kufanya hivyo kupitia linki ifuatayo: https://tinyurl.com/2m9nw4ww au...
Gachagua: Uhusiano kati yangu na Rais Ruto ni thabiti
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa hakikisho kwamba uhusiano kati yake na Rais William Ruto ni thabiti.
Gachagua amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kueneza taarifa...
ANC yaidhinisha rasmi ndoa kati yake na UDA
Chama cha Amani National Congress, ANC kimeidhinisha rasmi kujiunga kwake na chama cha United Democratic Alliance, UDA.
Hatua hiyo iliidhinishwa wakati wa mkutano ulioandaliwa katika...
Ruto asaini kuwa sheria Mswada wa Matumizi ya Ziada ya Fedha...
Rais William Ruto leo Jumatatu asubuhi ametia saini kuwa sheria Mswada wa Matumizi ya Ziada ya Fedha 2024.
Ruto alitia saini mswada huo katika Ikulu...
Wawili wakamatwa kwa kujaribu kuwahonga maafisa wa DCI
Watu wawili wamekamatwa kwa madai ya kujaribu kuwahonga maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI.
Katika taarifa, DCI inasema Jama Hirbo na Tasu Hirbo...
Waziri Kindiki asailiwa, asema polisi walijizatiti kudhibiti maandamano
Waziri mteule wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki amesema polisi walijitahidi vilivyo kudhibiti hali wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z.
Amesema watu...
Mawaziri watano wateule kusailiwa leo Alhamisi
Mchakato wa kusaili mawaziri 21 wateule ili kubaini ufaafu wao katika kuhudumu katika Baraza Jipya la Mawaziri unaanza leo Alhamisi.
Mchakato huo utaendeshwa kwa siku...
Mlipuko wa ugonjwa wa Mpox waripotiwa nchini
Serikali imetangaza kutokea kwa mlipuko wa ugonjwa wa Mpox humu nchini.
Katibu katika Wizara ya Afya Mary Muthoni amesema mlipuko wa ugonjwa huo umeripotiwa kutokea...
Uongozi wa UDA: Vurumai zatanda makao makuu ya chama
Wakili Joe Khalende alijeruhiwa leo Jumatano, siku moja baada ya kujitangaza kuwa Katibu Mkuu wa chama cha UDA.
Hii ni baada ya wafuasi wake kuripotiwa...