Martin Mwanje
Kenya yazindua kibali cha eTA, yalenga kuvutia watalii milioni 5 kwa...
Kenya imetangaza kuzinduliwa kwa Kibali cha Usafiri cha Eletroniki kwa Wasafiri wa Safari Ndefu Wanaopitia humu Nchini (eTA).
Tangazo hilo limetolewa na Rais William Ruto...
Kisa kimoja cha ugonjwa wa Mpox chathibitishwa nchini
Kisa kimoja zaidi cha ugonjwa wa Mpox kimethibitishwa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.
Hii inafanya jumla ya idadi ya visa vilivyoripotiwa nchini kufikia...
Hospitali zatakiwa kuwahudumia wagonjwa chini ya SHA
Hospitali zote nchini zimetakiwa kuhakikisha wanachama wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) wanaendelea kupata huduma za matibabu kama kawaida.
Katibu wa Idara ya Huduma...
Wawakilishi wadi Kericho wapiga kura kumtimua Gavana Mutai
Gavana wa Kericho Erick Mutai leo Jumatano amejipata matatani baada ya wawakilishi wadi katika bunge la kaunti hiyo kupiga kura ya kuunga mkono hoja...
Serikali yawaomba Wakenya Lebanon wajisajili haraka ili wahamishwe
Serikali kwa mara nyingine imetoa wito kwa Wakenya walioko nchini Lebanon kujisajili ili kusaidia katika uhamishaji wao haraka iwezekanavyo.
Wito huo unakuja wakati Israel...
Ujenzi wa barabara kote nchini umekwama, asema Waziri Mbadi
Wakenya huenda wakaendelea kustahimili matatizo wanayokumbana nayo wakati wakisafiri au kusafirisha bidhaa zao kutokana na kuharibika kwa barabara nyingi nchini.
Hii ni baada ya Waziri...
Gaagaa za Gachagua: Naibu Rais matatani Bunge la Taifa?
Chuma cha Naibu Rais Rigathi Gachagua yamkini kipo motoni kwenye Bunge la Taifa.
Hii ni baada ya wabunge wengi kusemekana kuazimia kuunga mkono hoja ya...
Gavana wa zamani wa Kiambu Ferdinand Waititu akamatwa
Gavana wa zamani wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu almaarufu "Baba yao" amekamatwa.
Wakili wake Ndegwa Njiru amethibitisha kukamatwa kwa mteja wake kupitia mtandao wa...
Bima ya SHIF: Wakenya wahaha kujisajili
Wakenya walikuwa na wakati mgumu kujisajili kwenye Bima mpya ya Afya ya Jamii, SHIF ambayo utekelezaji wake umepangiwa kuanza kesho Jumanne.
Wizara ya Afya imetangaza...
Ruto: Jumuiya ya kimataifa iifanyie mabadliko mifumo iliyopitwa na wakati
Rais William Ruto ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuifanyia mabadiliko mifumo iliyopitwa na wakati iliyo na mamlaka na ushawishi duniani.
Badala yake ameitaka jumuiya...