Martin Mwanje
Netanyahu asema ana ‘wajibu’ wa kuwarejesha mateka wote
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatatu ameapa kuwarejesha mateka wote wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Ameyasema hayo wakati...
Urusi yadai kudhibiti kijiji kilichopo mashariki mwa Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Urusi leo Jumatatu imedai kudhibiti kijiji kimoja kilichopo mashariki mwa Ukraine.
Kijiji hicho kipo karibu na mji muhimu wa kimkakati wa Pokrovsk.
Wizara...
ODM: Raila hajaitisha mkutano wa wabunge juu ya Gachagua
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinara wake Raila Odinga ameitisha mkutano wa wabunge wa chama hicho kuhusiana na hoja ya kutimuliwa kwa Naibu...
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana kuchaguliwa leo Jumatatu
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana (CoG) atabainika leo Jumatatu.
Wadhifa huo umekuwa ukishikiliwa na Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru ambaye amehudumu kwa...
Hoja ya kumbandua Gachagua: Wakenya watoa maoni
Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku Wakenya katika kaunti zote 47 wakitoa maoni kuhusiana na hoja maalum inayolenga kumfurusha Naibu...
Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni ya Wakenya vyaanza
Vikao vya kusikiliza kauli za Wakenya juu ya hoja maalum ya kumtimua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua vimeanza katika kaunti zote 47 nchini leo...
Mgao wa fedha za kaunti: Mbadi amlimbikizia lawama Mdibiti wa Bajeti
Mdhibiti wa Bajeti Dkt. Margaret Nyakang'o ndiye anayepaswa kulaumiwa kutokana na ucheleweshaji wa mara kwa mara wa fedha za kaunti zilizotolewa na serikali kuu.
Magavana...
Ndege zaidi za kukodi za Uingereza kutumwa Lebanon kuwahamisha raia wake
Uingereza itatuma ndege zaidi za kukodi kuwasaidia raia wake na wanaowategemea kuondoka nchini Lebanon.
Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imeyasema hayo...
Wizara ya Afya Gaza yasema idadi ya waliofariki imezidi 41,000
Wizara ya Afya katika eneo la Gaza imesema kuwa watu wasiopungua 41,788 wameuawa kutokana na vita kati ya Israel na wanamgambo wa Palestina.
Vita vimekuwa...
Mahakama yapiga breki utekelezaji wa mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo...
Mahakama Kuu imesitisha utekelezaji wa mfumo mpya na tata wa ufadhili wa vyuo vikuu nchini.
Hii ni hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga utekelezaji wa mfumo...