Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
674 POSTS 0 COMMENTS

Ruto: Kenya Kwanza haijaunda serikali ya muungano na ODM

0
Rais William Ruto amebainisha kuwa muungano unaotawala wa Kenya Kwanza haujaunda serikali ya muungano na chama cha ODM.  Badala yake, Ruto amesema pande hizo mbili...

Ufisadi utawaramba, Ruto awaonya Mawaziri wapya

0
Rais William Ruto ametoa onyo kali kwa mawaziri wapya na Makatibu wao akiwataka kutojihusisha katika visa vya ufisadi la sivyo wakione cha mtema kuni. Ruto...

Mbadi akabidhiwa rasmi mikoba ya Wizara ya Fedha

0
Waziri Mpya wa Fedha John Mbadi amechukua rasmi hatamu za uongozi wa wizara hiyo.  Mbadi alikabidhiwa mikoba ya wizara hiyo na mtangulizi wake Prof. Njuguna...

Kenya Kwanza kutoa fursa kwa vijana kujiendeleza, akariri Mudavadi

0
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi ametoa ahadi kwa vijana kwamba serikali ya Kenya Kwanza imedhamiria kutoa fursa zitakazohakikisha wanajiendeleza kimaisha.  Amewasifia vijana humu...

Dorcas Oduor: Nitazitathmini kesi kwa makini kabla ya kuziwasilisha kortini

0
Dorcas Oduor ambaye ameteuliwa na Rais William Ruto kuwa Mwanasheria Mkuu amesema utakuwa wajibu wake kuzitathmini kwa makini kesi kabla ya kuziwasilisha mahakamani.  Matamshi yake...

Rais Ruto azindua mradi wa uunganishaji umeme Murang’a

0
Rais William Ruto leo Ijumaa amezindua mradi wa uunganishaji umeme wa Last Mile katika kijiji cha Kirungu mjini Kiriaini katika kaunti ya Murang'a.  Mradi huo...

Kamati ya bunge yawasaili walioteuliwa kuwa Waziri wa EAC, Mwanasheria Mkuu

0
Kamati ya bunge leo Ijumaa inawasaili watu wawili walioteuliwa kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.  Wa kwanza kufika mbele ya kamati ya usaili inayoongozwa na...

Mawaziri wapya waanza kuchapa kazi

0
Mawaziri wapya waliingia katika ofizi zao kwa vishindo wakiwa tayari kulitumikia taifa yamkini kwa udi a uvumba, saa chache baada ya kuapishwa katika Ikulu...

Raila akutana na Balozi wa EU wakati akiwinda uenyekiti wa AUC

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga amekutana na Balozi wa Umoja wa Afrika, EU humu nchini Henriette Geiger wakati akiimarisha kampeni zake za...

Tetemeko kubwa la ardhi latokea kusini magharibi mwa Japani

0
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.1 kwenye kipimo cha Richter limetokea kusini magharibi mwa Japani.   Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS