Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
671 POSTS 0 COMMENTS

Kenya Kwanza kutoa fursa kwa vijana kujiendeleza, akariri Mudavadi

0
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi ametoa ahadi kwa vijana kwamba serikali ya Kenya Kwanza imedhamiria kutoa fursa zitakazohakikisha wanajiendeleza kimaisha.  Amewasifia vijana humu...

Dorcas Oduor: Nitazitathmini kesi kwa makini kabla ya kuziwasilisha kortini

0
Dorcas Oduor ambaye ameteuliwa na Rais William Ruto kuwa Mwanasheria Mkuu amesema utakuwa wajibu wake kuzitathmini kwa makini kesi kabla ya kuziwasilisha mahakamani.  Matamshi yake...

Rais Ruto azindua mradi wa uunganishaji umeme Murang’a

0
Rais William Ruto leo Ijumaa amezindua mradi wa uunganishaji umeme wa Last Mile katika kijiji cha Kirungu mjini Kiriaini katika kaunti ya Murang'a.  Mradi huo...

Kamati ya bunge yawasaili walioteuliwa kuwa Waziri wa EAC, Mwanasheria Mkuu

0
Kamati ya bunge leo Ijumaa inawasaili watu wawili walioteuliwa kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.  Wa kwanza kufika mbele ya kamati ya usaili inayoongozwa na...

Mawaziri wapya waanza kuchapa kazi

0
Mawaziri wapya waliingia katika ofizi zao kwa vishindo wakiwa tayari kulitumikia taifa yamkini kwa udi a uvumba, saa chache baada ya kuapishwa katika Ikulu...

Raila akutana na Balozi wa EU wakati akiwinda uenyekiti wa AUC

0
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga amekutana na Balozi wa Umoja wa Afrika, EU humu nchini Henriette Geiger wakati akiimarisha kampeni zake za...

Tetemeko kubwa la ardhi latokea kusini magharibi mwa Japani

0
Tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 7.1 kwenye kipimo cha Richter limetokea kusini magharibi mwa Japani.   Mamlaka ya Utabiri wa Hali ya Hewa nchini...

Mawaziri 19 wateule waapishwa

0
Jumla ya mawaziri 19 walioteuliwa kuhudumu katika Baraza Jipya la Mawaziri wamekula kiapo cha utendakazi. Hafla ya kuwaapisha ilifanyika leo Alhamisi katika Ikulu ya Nairobi...

Mshukiwa mkuu wa sakata ya mafuta ya Triton akamatwa

0
Mshukiwa mkuu wa sakata ya mafuta yenye thamani ya shilingi bilioni 7.6 amekamatwa.  Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC inasema ilimkamata Yagnesh Devani...

Mpango ulioboreshwa wa Linda Mama kurejeshwa, asema Katibu Muthoni

0
Katibu katika Idara ya Afya ya Umma Mary Muthoni amesema serikali imekusudia kurejesha mpango wa Linda Mama.  Amesema mpango huo utakuwa na mafao yaliyoboreshwa kwa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS