Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
837 POSTS 0 COMMENTS

Chanjo dhidi ya polio Pakistan mashakani kufuatia mashambulizi ya wanamgambo

0
Mashambulizi ya wanamgambo na ukosefu wa uaminifu unaotokana na taarifa za upotoshaji vinazuia mapambano ya kuangamiza ugonjwa wa polio nchini Pakistan. Hata hivyo, timu...

Rais Ruto atia saini Mswada wa Sukari 2022

0
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria Mswada wa Sukari wa mwaka 2022 unaolenga kufufua sekta ya sukari nchini.  Hafla ya utiaji saini mswada huo...

Ruto ataka vyombo vya dola kukabiliana na mauaji ya wanawake

0
Rais William Ruto amezitaka idara za upelelezi kuchukua hatua za haraka na kukomesha mauaji ya wanawake yanayoongezeka nchini.  Ripoti zinaonyesha kuwa wanawake zaidi ya 90...

‘Nakuhitaji, nilikaribia kuwa mpweke serikalini,’ Ruto amwambia Kindiki

0
Rais William Ruto kwa mara ya kwanza ameelezea jinsi alivyokosa msaada wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua katika kueneza injili ya serikali.  Amesema hali...

Ruto: Serikali itawahudumia Wakenya wote bila upendeleo

0
Utawala wa Kenya Kenya Kwanza utawahudumia Wakenya wote bila upendeleo wowote.  Rais William Ruto anasema kila sehemu ya nchi ni muhimu na itahudumiwa na serikali...

Hafla ya kumuapisha Prof. Kindiki yaendelea KICC

0
Hafla ya kumuapisha Naibu Rais mteule Prof. Kithure Kindiki inaendelea kwa sasa katika Jumba la Mikutano ya Kimataifa la KICC.  Prof. Kindiki amewasili katika jumba...

Kuapishwa kwa Prof. Kindiki: KICC yafurika watu

0
Jumba la Mikutano ya Kimataifa la KICC limefurika watu wengi ambao waliamka asubuhi na mapema kushuhudia kuapishwa kwa Naibu Rais mteule Prof. Kithure kindiki.  Viongozi...

Prof. Kindiki kuapishwa kama Naibu Rais

0
Prof. Kithure Kindiki yuko huru kula kiapo cha kuhudumu kama Naibu Rais. Hii ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ambao ni...

Gachagua achechemea mahakamani, apoteza wadhifa wake kama Naibu Rais

0
Naibu Rais aliyebanduliwa madarakani Rigathi Gachagua kwa mara nyingine amepata pigo mahakamani. Hii ni baada ya jopo la majaji watatu Mahakama Kuu kuondoa maagizo...

Maaafisa wa afya wanagenzi wapigwa kumbo na mahakama

0
Ni pigo kwa maafisa wa afya wanagenzi ambao wamekuwa wakipigania malipo bora nchini.  Hii ni baada ya Mahakama ya Wafanyakazi huko Uasin Gishu kudumisha viwango...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS