Martin Mwanje
Uenyekiti wa AUC: Raila kuelezea maono Ijumaa
Mgombea wa wadhifa wa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC Raila Odinga kesho Ijumaa ataelezea maono na masuala atakayoyapa kipaumbele ikiwa atachaguliwa...
COTU yampongeza Trump kwa kushinda uchaguzi Marekani
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU) umempongeza Donald Trump kwa kushinda uchaguzi wa urais nchini Marekani.
Kupitia Katibu Mkuu Francis Atwoli, COTU inasema...
Ichung’wah: Wenyekiti wa kamati za bunge wasiohudhuria vikao kufurushwa
Wenyekiti wa kamati za bunge na manaibu wao walio na mazoea ya kutohudhuria vikao vya bunge wanakabiliwa na hatari ya kubanduliwa kwenye nyadhifa hizo.
Onyo...
Wamarekani wapiga kura kumchagua Rais mpya
Mamilioni ya raia wa Marekani leo Jumanne wanapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Joe Biden anayeondoka madarakani baada ya kuhudumu kwa muhula mmoja.
Ushindani ni...
Mudavadi azuru Wizara ya Usalama wa Kitaifa, ataarifiwa hali ya usalama...
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje leo Jumanne ametembelea Wizara ya Usalama wa Kitaifa na kupewa taarifa...
Mshauri wa Rais ataka mauaji ya wanawake kutangazwa janga la taifa
Mshauri wa Rais kuhusu Haki za Wanawake Harriette Chiggai sasa anataka mauaji ya wanawake kuchukuliwa kama suala nyeti la kitaifa.
Amesema idadi ya wanawake...
Ruto: Tunathamini uhusiano wetu thabiti wa kidiplomasia na China
Rais William Ruto ameelezea namna Kenya inavyothamini mno uhusiano wake wa kidiplomasia na China.
Amesema uhusiano kati ya nchi hizo mbili hususan umejikita kwa heshima...
Katibu Omollo awataka Machifu kuongoza upanzi wa miche kote nchini
Serikali imezindua mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi unaolenga kupanda miche zaidi ya milioni moja kila mwezi kote nchini.
Mpango huo utaongozwa na...
Mahakama ya Juu: Miaka 12 baadaye
Mahakama ya Juu leo Jumatatu imeandaa kongamano la kuakisi hatua ilizopiga katika kuwahudumia Wakenya miaka 12 tangu kuasisiwa kwake.
Jaji Mkuu Martha Koome anasema kongamano...
Mlipuko wa volkano waua watu 10 Indonesia, wateketeza nyumba
Volkano mashariki mwa Indonesia ililipuka usiku wa kuamkia leo Ijumaa na kuua watu wasiopungua 10 wakati ikitoa miale ya moto na majivu katika vijiji...