Martin Mwanje
Wizara ya Afya Ukanda wa Gaza yasema watu zaidi ya 42,000...
Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza inasema watu wasiopungua 42,010 wamefariki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na wanamgambo wa Palestina.
Idadi hiyo...
Kikao cha Maseneta wote kuamua hatima ya Gachagua wiki ijayo
Kikao cha Maseneta wote kitaamua hatima ya Naibu Rais Rigathi Gachagua wiki ijayo.
Hii ni baada ya Maseneta leo Jumatano asubuhi kukataa pendekezo la kubuni...
Bunge la Taifa lapitisha hoja maalum ya kumtimua Gachagua
Bunge la Taifa limepiga kura na kupitisha hoja maalum ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Hii ni baada ya wabunge 281 kuunga mkono hoja...
NCIC yaelezea hofu juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeelezea mashaka juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini.
Tume hiyo sasa inatoa wito kwa Wakenya...
Bunge: Asilimia 65 ya Wakenya waliunga mkono hoja ya kumtimua Gachagua
Asilimia 65.11 ya Wakenya katika kiwango cha maeneo bunge waliunga mkono kubanduliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakati wa zoezi la kukusanya maoni ya...
Kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais chaendelea bungeni
Bunge la Kitaifa kwa sasa linaandaa kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.
Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse amewasilisha bungeni hoja maalum ya...
Ahmed Abdullahi achaguliwa mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana
Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi ndiye mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana (CoG).
Hadi kuchaguliwa kwake leo Jumatatu, Abdullahi amekuwa Naibu Mwenyekiti wa baraza hilo.
Katika...
Kura ya maoni ya TIFA: Waziri Kindiki apendekezwa kumrithi Gachagua
Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanataka Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki kutajwa kama...
Kura ya maoni ya TIFA: Asilimia 41 ya Wakenya wanataka Gachagua...
Ni asilimia 41 tu ya Wakenya wanaotaka Naibu Rais Rigathi Gachagua afurushwe kutoka wadhifa huo.
Kulingana na kura ya maoni iliyofanywa na kampun ya TIFA,...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan aonya mashambulizi ya Israel...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi leo Jumatatu ameonya kuwa "mashambulizi ya Israel" yanalisukuma eneo hilo kuelekea "lindi kuu" la mapigano...