Martin Mwanje
Kura ya maoni ya TIFA: Waziri Kindiki apendekezwa kumrithi Gachagua
Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanataka Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki kutajwa kama...
Kura ya maoni ya TIFA: Asilimia 41 ya Wakenya wanataka Gachagua...
Ni asilimia 41 tu ya Wakenya wanaotaka Naibu Rais Rigathi Gachagua afurushwe kutoka wadhifa huo.
Kulingana na kura ya maoni iliyofanywa na kampun ya TIFA,...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan aonya mashambulizi ya Israel...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi leo Jumatatu ameonya kuwa "mashambulizi ya Israel" yanalisukuma eneo hilo kuelekea "lindi kuu" la mapigano...
Netanyahu asema ana ‘wajibu’ wa kuwarejesha mateka wote
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatatu ameapa kuwarejesha mateka wote wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
Ameyasema hayo wakati...
Urusi yadai kudhibiti kijiji kilichopo mashariki mwa Ukraine
Wizara ya Ulinzi ya Urusi leo Jumatatu imedai kudhibiti kijiji kimoja kilichopo mashariki mwa Ukraine.
Kijiji hicho kipo karibu na mji muhimu wa kimkakati wa Pokrovsk.
Wizara...
ODM: Raila hajaitisha mkutano wa wabunge juu ya Gachagua
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinara wake Raila Odinga ameitisha mkutano wa wabunge wa chama hicho kuhusiana na hoja ya kutimuliwa kwa Naibu...
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana kuchaguliwa leo Jumatatu
Mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana (CoG) atabainika leo Jumatatu.
Wadhifa huo umekuwa ukishikiliwa na Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru ambaye amehudumu kwa...
Hoja ya kumbandua Gachagua: Wakenya watoa maoni
Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku Wakenya katika kaunti zote 47 wakitoa maoni kuhusiana na hoja maalum inayolenga kumfurusha Naibu...
Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni ya Wakenya vyaanza
Vikao vya kusikiliza kauli za Wakenya juu ya hoja maalum ya kumtimua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua vimeanza katika kaunti zote 47 nchini leo...
Mgao wa fedha za kaunti: Mbadi amlimbikizia lawama Mdibiti wa Bajeti
Mdhibiti wa Bajeti Dkt. Margaret Nyakang'o ndiye anayepaswa kulaumiwa kutokana na ucheleweshaji wa mara kwa mara wa fedha za kaunti zilizotolewa na serikali kuu.
Magavana...