Martin Mwanje
Hakuna kisa kingine cha Mpox kimeripotiwa nchini, asema Waziri Barasa
Waziri wa Afya Dkt. Deborah Barasa amewahakikishia Wakenya kuwa hakuna kisa kingine cha ugonjwa wa Mpox ambacho kimeripotiwa nchini.
Hii ni tangu kupona kwa mgonjwa...
Washukiwa 2 wakamatwa, bangi ya mamilioni ya pesa yanaswa Mombasa
Washukiwa wawili wa ulanguzi wa bangi wamenaswa katika operesheni ya pamoja iliyofanywa na makachero kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Moi na Kitengo...
KAA yahaha kuepusha mgomo wa wafanyakazi
Mamlaka ya Kusimamia Viwanja vya Ndege nchini, KAA inasema mazungumzo yameanzishwa yanayokusudia kuepusha mgomo ulioitishwa na Chama cha Wafanyakazi wa Viwanja vya Ndege nchini,...
Uteuzi wa Dorcas Oduor, Beatrice Askul waidhinishwa na bunge
Bunge la Kitaifa limeidhinisha uteuzi wa Dorcas Oduor kuwa Mwanasheria Mkuu na Beatrice Askul Moe kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Maendeleo...
LSK kuandaa kikao cha kila mwaka Kwale
Kikao cha kila mwaka kinachoandaliwa na Chama cha Wanasheria nchini, LSK kimeanza leo Jumanne katika eneo la Diani, kaunti ya Kwale.
Maudhui ya kikao hicho...
Mashaka ya Mwangaza: Seneti kuandaa kikao maalum Jumatano
Bunge la Seneti kesho Jumatano litaandaa kikao maalum kuangazia mashtaka yaliyosababisha bunge la kaunti ya Meru kumtimua Gavana Kawira Mwangaza kwa mara ya tatu...
Idara ya mahakama mbioni kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani
Idara ya Mahakama inakusudia kufanya marekebisho muhimu katika mfumo wa idara hiyo ili kukabiliana na msongamano wa wafungwa katika magereza humu nchini.
Hatua hiyo ni...
Ruto: Kenya Kwanza haijaunda serikali ya muungano na ODM
Rais William Ruto amebainisha kuwa muungano unaotawala wa Kenya Kwanza haujaunda serikali ya muungano na chama cha ODM.
Badala yake, Ruto amesema pande hizo mbili...
Ufisadi utawaramba, Ruto awaonya Mawaziri wapya
Rais William Ruto ametoa onyo kali kwa mawaziri wapya na Makatibu wao akiwataka kutojihusisha katika visa vya ufisadi la sivyo wakione cha mtema kuni.
Ruto...
Mbadi akabidhiwa rasmi mikoba ya Wizara ya Fedha
Waziri Mpya wa Fedha John Mbadi amechukua rasmi hatamu za uongozi wa wizara hiyo.
Mbadi alikabidhiwa mikoba ya wizara hiyo na mtangulizi wake Prof. Njuguna...