Martin Mwanje
Korti yatoa kibali cha kukamatwa kwa Gavana wa Uasin Gishu
Mahakama ya Nakuru leo Jumatatu imetoa kibali cha kukamatwa kwa Gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii na aliyekuwa Naibu Gavana wa kaunti hiyo John...
KUPPET yatakiwa kufutilia mbali mgomo wa walimu
Chama cha Walimu wa Shule za Sekondari na Vyuo, KUPPET kimetakiwa kufutilia mbali mgomo wa walimu wa shule za sekondari ulioanza leo Jumatatu kote...
Mwimbaji Marco Joseph wa kundi la Zabron Singers afariki
Mwimbaji Marco Joseph wa kundi maarufu la nyimbo za injili la Zabron Singers kutoka Tanzania ameaga dunia.
Marco alifariki juzi Jumatano wakati akipokea matibabu...
Watu 2 wafariki, wengine wajeruhiwa kwenye ajali Kiambu
Watu wawili wamefariki baada ya dereva wa basi walimokuwa wakisafiria kushindwa kulidhibiti na basi hilo.
Hali hiyo ilisababisha basi hilo kubingiria kwenye mtaro katika eneo...
Wabunge watetea hazina ya NG-CDF, wakemea wakosoaji
Wabunge ambao ni wanachama wa Hazina ya Kitaifa ya Ustawishaji wa Maeneo Bunge, NG-CDF wamewataka Wakenya kutetea hazina hiyo kwa udi na uvumba.
Wamesema hazina...
Mudavadi aelekea Japani kuhudhuria mkutano wa TICAD
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameondoka nchini kuelekea Japani ambako amepangiwa kuhudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Tokyo (TICAD) wa ngazi ya mawaziri utakaoandaliwa jijini...
Wanjigi: DCI imenikamata kinyume cha sheria
Mfanyabiashara Jimi Wanjigi amedai kukamatwa na maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Jinai, DCI.
Wanjigi alifika katika ofisi za DCI eneo la Nairobi leo Jumatatu...
ODM yamtetea Raila wakati mivutano Azimio ikirindima
Chama cha ODM kimesitisha kimya chake na kumtetea kiongozi wake Raila Odinga dhidi ya madai kwamba amekiongoza chama hicho kujiunga na serikali.
Viongozi wanne wa...
Mfanyabiashara Yagnesh Devani aachiliwa kwa dhamana
Mshukiwa mkuu wa sakata ya mafuta ya Triton yenye thamani ya shilingi bilioni 7.6 Yagnesh Devani ameachiliwa kwa dhamana.
Bilionea Devani ameachiliwa kwa dhamana ya...
Bangi yenye thamani ya milioni 2.5 yanaswa Malindi, mshukiwa asakwa
Polisi mjini Malindi, kaunti ya Kilifi wanamsaka mshukiwa wa ulanguzi wa mihadarati aliyekwepa mtego wa polisi na kuacha nyuma bangi yenye thamani ya shilingi...