Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
832 POSTS 0 COMMENTS

Ruben Amorim achukua usukani kama kocha mpya wa Man U

0
Enzi ya Ruben Amorim kama kocha mpya wa Manchester United imeanza leo Jumatatu baada kocha huyo kutua nchini Uingereza.  Amorim aliteuliwa kumrithi Ten Hag kufuatia...

Rais suluhu akutana na Katibu Mkuu wa EAC Veronica Nduva

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu leo Jumatatu amekutana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Veronica Nduva. Wawili...

Rais Boko wa Botswana atangaza kundi la kwanza la Mawaziri sita

0
Rais mpya wa Botswana Duma Gideon Boko ametangaza kundi la kwanza la Mawaziri sita siku chache baada ya kuchaguliwa kuliongoza taifa hilo la kusini...

Sera ya kigeni ya Kenya: Mudavadi atafuta ushauri wa kamati ya...

0
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi amefanya mashauriano na Kamati ya Bunge la Taifa juu ya Ulinzi, Ujasusi na Uhusiano wa Kigeni.  Kiini cha mashauriano hayo...

Arsenal yarambwa na Inter Milan kombe la UEFA

0
Vijana wa Mikel Arteta walipokea kichapo cha goli moja bila jawabu walicholimbikizwa na miamba wa soka nchini Italia, Inter Milan.  Hii ilikuwa ni mara ya...

Uenyekiti wa AUC: Raila kuelezea maono Ijumaa

0
Mgombea wa wadhifa wa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC Raila Odinga kesho Ijumaa ataelezea maono na masuala atakayoyapa kipaumbele ikiwa atachaguliwa...

COTU yampongeza Trump kwa kushinda uchaguzi Marekani

0
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU) umempongeza Donald Trump kwa kushinda uchaguzi wa urais nchini Marekani.  Kupitia Katibu Mkuu Francis Atwoli, COTU inasema...

Ichung’wah: Wenyekiti wa kamati za bunge wasiohudhuria vikao kufurushwa

0
Wenyekiti wa kamati za bunge na manaibu wao walio na mazoea ya kutohudhuria vikao vya bunge wanakabiliwa na hatari ya kubanduliwa kwenye nyadhifa hizo.  Onyo...

Wamarekani wapiga kura kumchagua Rais mpya

0
Mamilioni ya raia wa Marekani leo Jumanne wanapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Joe Biden anayeondoka madarakani baada ya kuhudumu kwa muhula mmoja.  Ushindani ni...

Mudavadi azuru Wizara ya Usalama wa Kitaifa, ataarifiwa hali ya usalama...

0
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje leo Jumanne ametembelea Wizara ya Usalama wa Kitaifa na kupewa taarifa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS