Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
735 POSTS 0 COMMENTS

NCIC yaelezea hofu juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini

0
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeelezea mashaka juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini.  Tume hiyo sasa inatoa wito kwa Wakenya...

Bunge: Asilimia 65 ya Wakenya waliunga mkono hoja ya kumtimua Gachagua

0
Asilimia 65.11 ya Wakenya katika kiwango cha maeneo bunge waliunga mkono kubanduliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakati wa zoezi la kukusanya maoni ya...

Kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais chaendelea bungeni

0
Bunge la Kitaifa kwa sasa linaandaa kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.  Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse amewasilisha bungeni hoja maalum ya...

Ahmed Abdullahi achaguliwa mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana

0
Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi ndiye mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana (CoG).  Hadi kuchaguliwa kwake leo Jumatatu, Abdullahi amekuwa Naibu Mwenyekiti wa baraza hilo. Katika...

Kura ya maoni ya TIFA: Waziri Kindiki apendekezwa kumrithi Gachagua

0
Utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA unaonyesha kuwa Wakenya wengi wanataka Waziri wa Usalama wa Taifa Prof. Kithure Kindiki kutajwa kama...

Kura ya maoni ya TIFA: Asilimia 41 ya Wakenya wanataka Gachagua...

0
Ni asilimia 41 tu ya Wakenya wanaotaka Naibu Rais Rigathi Gachagua afurushwe kutoka wadhifa huo. Kulingana na kura ya maoni iliyofanywa na kampun ya TIFA,...

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan aonya mashambulizi ya Israel...

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jordan Ayman Safadi leo Jumatatu ameonya kuwa "mashambulizi ya Israel" yanalisukuma eneo hilo kuelekea "lindi kuu" la mapigano...

Netanyahu asema ana ‘wajibu’ wa kuwarejesha mateka wote

0
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatatu ameapa kuwarejesha mateka wote wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Palestina katika Ukanda wa Gaza. Ameyasema hayo wakati...

Urusi yadai kudhibiti kijiji kilichopo mashariki mwa Ukraine

0
Wizara ya Ulinzi ya Urusi leo Jumatatu imedai kudhibiti kijiji kimoja kilichopo mashariki mwa Ukraine.  Kijiji hicho kipo karibu na mji muhimu wa kimkakati wa Pokrovsk. Wizara...

ODM: Raila hajaitisha mkutano wa wabunge juu ya Gachagua

0
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinara wake Raila Odinga ameitisha mkutano wa wabunge wa chama hicho kuhusiana na hoja ya kutimuliwa kwa Naibu...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS