Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
724 POSTS 0 COMMENTS

Hoja ya kumbandua Gachagua: Wakenya watoa maoni

0
Cheche kali za kisiasa na wakati mwingine vurugu zilishuhudiwa huku Wakenya katika kaunti zote 47 wakitoa maoni kuhusiana na hoja maalum inayolenga kumfurusha Naibu...

Hoja ya kumbandua Gachagua: Vikao vya kukusanya maoni ya Wakenya vyaanza

0
Vikao vya kusikiliza kauli za Wakenya juu ya hoja maalum ya kumtimua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua vimeanza katika kaunti zote 47 nchini leo...

Mgao wa fedha za kaunti: Mbadi amlimbikizia lawama Mdibiti wa Bajeti

0
Mdhibiti wa Bajeti Dkt. Margaret Nyakang'o ndiye anayepaswa kulaumiwa kutokana na ucheleweshaji wa mara kwa mara wa fedha za kaunti zilizotolewa na serikali kuu.  Magavana...

Ndege zaidi za kukodi za Uingereza kutumwa Lebanon kuwahamisha raia wake

0
Uingereza itatuma ndege zaidi za kukodi kuwasaidia raia wake na wanaowategemea kuondoka nchini Lebanon. Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imeyasema hayo...

Wizara ya Afya Gaza yasema idadi ya waliofariki imezidi 41,000

0
Wizara ya Afya katika eneo la Gaza imesema kuwa watu wasiopungua 41,788 wameuawa kutokana na vita kati ya Israel na wanamgambo wa Palestina. Vita vimekuwa...

Mahakama yapiga breki utekelezaji wa mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo...

0
Mahakama Kuu imesitisha utekelezaji wa mfumo mpya na tata wa ufadhili wa vyuo vikuu nchini. Hii ni hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga utekelezaji wa mfumo...

Kenya yazindua kibali cha eTA, yalenga kuvutia watalii milioni 5 kwa...

0
Kenya imetangaza kuzinduliwa kwa Kibali cha Usafiri cha Eletroniki kwa Wasafiri wa Safari Ndefu Wanaopitia humu Nchini (eTA). Tangazo hilo limetolewa na Rais William Ruto...

Kisa kimoja cha ugonjwa wa Mpox chathibitishwa nchini

0
Kisa kimoja zaidi cha ugonjwa wa Mpox kimethibitishwa nchini katika kipindi cha saa 24 zilizopita.  Hii inafanya jumla ya idadi ya visa vilivyoripotiwa nchini kufikia...

Hospitali zatakiwa kuwahudumia wagonjwa chini ya SHA

0
Hospitali zote nchini zimetakiwa kuhakikisha wanachama wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA) wanaendelea kupata huduma za matibabu kama kawaida.  Katibu wa Idara ya Huduma...

Wawakilishi wadi Kericho wapiga kura kumtimua Gavana Mutai

0
Gavana wa Kericho Erick Mutai leo Jumatano amejipata matatani baada ya wawakilishi wadi katika bunge la kaunti hiyo kupiga kura ya kuunga mkono hoja...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS