Martin Mwanje
Upatikanaji wa cheti cha kuzaliwa na kifo: Mswada wasomwa bungeni
Mswada wa (Marekebisho) ya Usajili wa Kuzaliwa na Kifo 2014 umesomwa kwa mara ya kwanza katika Bunge la Taifa.
Mswada huo umewasilishwa bungeni na mbunge...
Mahakama yaagiza kusitishwa kwa mgomo wa wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo...
Wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini wameagizwa kusitisha mgomo wao hadi kesi iliyowasilishwa mahakamani kupinga mgomo huo itakaposikilizwa na kuamuliwa.
Kesi hiyo...
Utalii: Wakenya kuzuru mbuga za kitaifa bila malipo Septemba 28
Wakenya watapata fursa adimu ya kuzuru mbuga za kitaifa kote nchini Septemba 28 mwaka huu.
Hii itakuwa siku moja baada ya Kenya kuungana na ulimwengu...
Wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma waanza mgomo
Shughuli za masomo zilitatizika leo Jumatano baada ya wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu vya umma nchini kuanza mgomo wao.
Wote hao wanalalamikia kucheleweshwa kwa...
Ujenzi wa ‘flyover’ kwenye barabara ya Ngong waanza
Ujenzi wa barabara ya juu (flyover) kwenye barabara ya Ngong na Naivasha kwenye makutano ya Junction Mall katika kaunti ya Nairobi umeanza.
Mamlaka ya Ustawishaji...
Mifuko 522,000 ya mbolea ya bei nafuu yatolewa kwa wakulima
Serikali imewapatia wakulima mifuko 522,000 ya mbolea ya bei nafuu ili kupiga jeki shughuli za kilimo na hivyo kuhakikisha nchi hii ina chakula cha...
Bima ya afya ya SHA kutekelezwa Oktoba mosi
Bima mpya ya afya ya SHA itaanza kutekelezwa tarehe mosi mwezi ujao.
Hadi kufikia sasa, Wakenya milioni 1.2 wamejisajili kwa bima hiyo itakayochukua mahali pa...
Gavana Nyaribo anusurika kubanduliwa madarakani
Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo kwa mara nyingine amenusurika kura ya kumtimua madarakani.
Hii ni baada ya wawakilishi wadi kukosa kufikisha theluthi mbili inayohitajika ya...
Kuondolewa kwa walinzi wa Jaji Mugambi: IPOA yaanzisha uchunguzi
Mamlaka ya Kuangazia Utendakazi wa Polisi, IPOA imeanzisha uchunguzi kuhusiana na madai kuwa maafisa wawili wa ulinzi wa Jaji Lawrence Mugambi wameondolewa.
Tume ya Huduma...
Gachagua, Kindiki wakutana wakati ubabe wa kisiasa ukirindima kati yao
Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki wamekutana ana kwa ana leo Jumanne tangu kuibuka kwa ubabe wa...