Martin Mwanje
Itikadi kali za kidini tishio kwa Kenya, asema Katibu Omollo
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Kitaifa Dkt. Raymond Omollo anasema mashambulizi ya kigaidi yanayotokana na itikadi kali yanasalia kuwa changamoto kubwa inayolikabili...
Mudavadi ataka ahadi za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi kutimizwa
Afrika inasalia kuwa moja ya maeneo yaliyoathiriwa zaidi na mabadiliko ya tabia nchi duniani.
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi anasema hii ni...
Ruto: Uchumi wa Kenya umeimarika
Rais William Ruto amesema uchumi wa Kenya umeimarika wakati juhudi za kuleta mabadiliko humu nchini zikiendelea.
Matamshi yake yanakuja wakati ambapo kiwango cha mfumko wa...
Meg Whitman ajiuzulu kama Balozi wa Marekani nchini Kenya
Balozi wa Marekani nchini Kenya Meg Whitman amejiuzulu.
Hatua hiyo inakuja siku chache baada ya baadhi ya Wakenya kushinikiza kuondolewa kwake kwenye wadhifa huo baada...
Utalii endelevu: China kutafuta ushirikiano na Kenya
China inatafuta ushirikiano na sekta ya utalii ya Kenya katika nyanja za utalii endelevu huku Kenya ikitajwa kuwa mwasisi wa utalii wa vivutio vya...
Uchaguzi wa kitaifa wa FKF kufanyika Disemba 7
Uchaguzi wa Kitaifa wa Shirikisho la Kandanda nchini Kenya, FKF utafanyika Disemba 7 mwaka huu.
Uchaguzi huo katika ngazi ya kaunti utafanyika kesho Alhamisi, Novemba...
Maseneta wawasuta mawaziri kwa kukosa kufika bungeni kujibu maswali
Hamaki ilitanda katika Bunge la Seneti leo Jumatano asubuhi baada ya Waziri wa Utalii Rebecca Miano na mwenzake wa Afya Dkt. Deborah Barasa kukosa...
Uhifadhi wa Mto Nairobi: Ruto awasihi wabunge kuunga mkono juhudi
Rais William Ruto leo Jumanne amekutana na wabunge kutoka kaunti ya Nairobi kwa lengo la kutafuta uungwaji mkono wao katika juhudi za kuhifadi Mto...
Van Nistelrooy aigura Man Utd
Kaimu kocha wa timu ya soka ya Uingereza ya Man Utd Ruud van Nistelrooy ameondoka kwenye timu hiyo.
Hii ni baada ya kocha mpya...
Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Nairobi watakiwa kurejea kazini mara moja
Wahadhiri wanaogoma wa Chuo Kikuu cha Nairobi, UoN wametakiwa kurejea kazini mara moja.
Wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma kwa kipindi cha wiki tatu zilizopita...