Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
748 POSTS 0 COMMENTS

Ruto airai jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi za kudumisha amani...

0
Rais William Ruto ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuunga mkono juhudi zinazoendelea za kurejesha amani nchini Haiti.  Kenya imekuwa mstari wa mbele kuunga mkono...

Wabunge wa Kaskazini Mashariki wakutana kuangazia mustakabali wa eneo hilo

0
Wabunge kutoka Kaskazini Mashariki mwa nchi wameandaa kongamano la siku tatu katika hoteli moja mjini Mombasa.  Lengo la kongamano hilo ni kujadili namna ya kusuluhisha...

Kundi la Nihon Hidankyo la Japani lashinda Tuzo ya Amani ya...

0
Kundi la manusura wa bomu la atomiki la Japani la Nihon Hidankyo limeshinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka huu.  Kundi hilo linalopinga matumizi...

KRA yazindua rasmi kituo cha utoaji huduma cha Malaba OSBP

0
Mamlaka ya Ukusanyaji Mapato nchini, KRA imezindua rasmi kituo cha utoaji huduma kutoka mahali pamoja cha Malaba OSBP katika eneo hilo la mpakani, kaunti...

Jopo la majaji kusikiliza kesi ya kupinga kutimuliwa kwa Gachagua

0
Jaji Mkuu Martha Koome anatarajiwa kubuni jopo la majaji watakaosikiliza kesi ya kupinga kutimuliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.  Hii inafuatia ombi lililotolewa na timu...

China yashutumu mtazamo wa ‘poteza-poteza’ wa EU katika mzozo unaoongezeka wa...

0
China leo Ijumaa imeukosoa mtazamo wa "poteza-poteza" wa kibiashara unaochukuliwa na Umoja wa Ulaya, EU. Hii ni baada ya mkuu wa umoja huo Charles...

Blinken asema Marekani inataka suluhu ya Lebanon, siyo ‘mgogoro mpana’

0
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken leo Ijumaa ameelezea matumaini ya kupatikana kwa suluhu ya kidiplomasia nchini Lebanon na kuzuia mgogoro...

Maseneta wapigwa marufuku kusafiri nje ya nchi

0
Maseneta na wafanyakazi wa Bunge la Seneti wamepigwa marufuku kusafiri nje ya nchi kwa kipindi cha yamkini wiki mbili zijazo.  Spika Amason Kingi anasema hatua...

Rais Ruto amteua Munyori Buku kuwa mkuu wa PCS

0
Munyori Buku ndiye Mkuu mpya wa Idara ya Mawasiliano ya Rais, PCS. Awali, wadhifa huo ulishikiliwa na David Mugonyi ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu...

KHRC yapinga ombi la Kenya kujiunga na Baraza la Haki za...

0
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu nchini, KHRC limepinga ombi la Kenya la kutaka kujiunga na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS