Martin Mwanje
Waziri Ndung’u: Serikali kubuni mazingira bora katika sekta ya ICT
Serikali imedhamiria kubuni mazingira wezeshi yanayokuza uwekezaji na kubuni fursa katika sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) kwa ajili ya ukuaji wa sekta...
Kamati ya Ulinzi yazuru Kahawa Garrison, yakagua miradi muhimu
Kamati ya Bunge la Taifa juu ya Ulinzi, Ujasusi na Uhusiano wa Kigeni imetembelea kambi ya Kahawa Garrison katika kaunti ya Nairobi ili kukagua...
Waziri Barasa: Wakenya sasa wanapata huduma bora za matibabu kupitia SHA
Waziri wa Afya Dkt. Deborah Barasa amesema Wakenya kwa sasa wanapata huduma bora za afya ya msingi bila malipo katika hospitali za umma kupitia...
Rais Ruto asifia kiwanda cha uvumbuzi cha Silicon Savannah
Rais William Ruto amekilimbikizia sifa kiwanda cha uvumbuzi cha Silicon Savannah akisema kitatekeleza wajibu muhimu katika kuinadi Kenya kama kitovu cha teknolojia na uvumbuzi...
Ruto: Walimu 20,000 kuajiriwa kufikia mwezi Januari 2025
Serikali ina mipango ya kuwaajiri walimu 20,000 zaidi kufikia mwezi Januari mwakani.
Rais William Ruto anasema hatua hiyo inalenga kuangazia changamoto zinazoikumba sekta ya elimu...
Ruto: Tumepiga hatua kubwa katika kufufua sekta ya sukari
Rais William Ruto amesema serikali yake imefikia hatua kubwa katika kufufua sekta ya sukari ambayo kwa muda mrefu imekuwa ikisuasua.
Ruto anasema ili kudhihirisha hilo,...
Ruto: Wakulima milioni 6.4 wamegawiwa mbolea ya bei nafuu
Jumla ya wakulima milioni 6.45 wamegawiwa mbolea ya bei nafuu tangu mwezi Februari mwaka huu katika hatua ambayo imeboresha mno mazao yao.
Rais William Ruto...
Visa vya ugonjwa wa Mpox nchini vyagonga 18
Idadi ya visa vya ugonjwa wa Mpox vilivyoripotiwa nchini imefikia 18. Hii ni baada ya kisa kingine kipya kuthibitishwa katika kaunti ya Nakuru.
Kupitia kwa...
Kukamatwa kwa Besigye kwachochea msururu wa shutuma
Viongozi mbalimbali nchini Kenya wameungana kulaani vikali ripoti za kukamatwa kwa Dkt. Kizza Besigye ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini Uganda.
Taarifa za kukamtwa kwa...
Rais Museveni aipongeza Uganda Cranes kwa kufuzu AFCON
Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameilimbikizia sifa sufufu timu ya taifa ya nchi hiyo ya Uganda Cranes kwa kufuzu fainali za 35 za kipute...