Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
831 POSTS 0 COMMENTS

Sera ya kigeni ya Kenya: Mudavadi atafuta ushauri wa kamati ya...

0
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi amefanya mashauriano na Kamati ya Bunge la Taifa juu ya Ulinzi, Ujasusi na Uhusiano wa Kigeni.  Kiini cha mashauriano hayo...

Arsenal yarambwa na Inter Milan kombe la UEFA

0
Vijana wa Mikel Arteta walipokea kichapo cha goli moja bila jawabu walicholimbikizwa na miamba wa soka nchini Italia, Inter Milan.  Hii ilikuwa ni mara ya...

Uenyekiti wa AUC: Raila kuelezea maono Ijumaa

0
Mgombea wa wadhifa wa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, AUC Raila Odinga kesho Ijumaa ataelezea maono na masuala atakayoyapa kipaumbele ikiwa atachaguliwa...

COTU yampongeza Trump kwa kushinda uchaguzi Marekani

0
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Kenya (COTU) umempongeza Donald Trump kwa kushinda uchaguzi wa urais nchini Marekani.  Kupitia Katibu Mkuu Francis Atwoli, COTU inasema...

Ichung’wah: Wenyekiti wa kamati za bunge wasiohudhuria vikao kufurushwa

0
Wenyekiti wa kamati za bunge na manaibu wao walio na mazoea ya kutohudhuria vikao vya bunge wanakabiliwa na hatari ya kubanduliwa kwenye nyadhifa hizo.  Onyo...

Wamarekani wapiga kura kumchagua Rais mpya

0
Mamilioni ya raia wa Marekani leo Jumanne wanapiga kura kumchagua mrithi wa Rais Joe Biden anayeondoka madarakani baada ya kuhudumu kwa muhula mmoja.  Ushindani ni...

Mudavadi azuru Wizara ya Usalama wa Kitaifa, ataarifiwa hali ya usalama...

0
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje leo Jumanne ametembelea Wizara ya Usalama wa Kitaifa na kupewa taarifa...

Mshauri wa Rais ataka mauaji ya wanawake kutangazwa janga la taifa

0
Mshauri wa Rais kuhusu Haki za Wanawake Harriette Chiggai sasa anataka mauaji ya wanawake kuchukuliwa kama suala nyeti la kitaifa. Amesema idadi ya wanawake...

Ruto: Tunathamini uhusiano wetu thabiti wa kidiplomasia na China

0
Rais William Ruto ameelezea namna Kenya inavyothamini mno uhusiano wake wa kidiplomasia na China.  Amesema uhusiano kati ya nchi hizo mbili hususan umejikita kwa heshima...

Katibu Omollo awataka Machifu kuongoza upanzi wa miche kote nchini

0
Serikali imezindua mpango wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi unaolenga kupanda miche zaidi ya milioni moja kila mwezi kote nchini.   Mpango huo utaongozwa na...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS