Martin Mwanje
Rais Ruto atia saini Mswada wa Sukari 2022
Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria Mswada wa Sukari wa mwaka 2022 unaolenga kufufua sekta ya sukari nchini.
Hafla ya utiaji saini mswada huo...
Ruto ataka vyombo vya dola kukabiliana na mauaji ya wanawake
Rais William Ruto amezitaka idara za upelelezi kuchukua hatua za haraka na kukomesha mauaji ya wanawake yanayoongezeka nchini.
Ripoti zinaonyesha kuwa wanawake zaidi ya 90...
‘Nakuhitaji, nilikaribia kuwa mpweke serikalini,’ Ruto amwambia Kindiki
Rais William Ruto kwa mara ya kwanza ameelezea jinsi alivyokosa msaada wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua katika kueneza injili ya serikali.
Amesema hali...
Ruto: Serikali itawahudumia Wakenya wote bila upendeleo
Utawala wa Kenya Kenya Kwanza utawahudumia Wakenya wote bila upendeleo wowote.
Rais William Ruto anasema kila sehemu ya nchi ni muhimu na itahudumiwa na serikali...
Hafla ya kumuapisha Prof. Kindiki yaendelea KICC
Hafla ya kumuapisha Naibu Rais mteule Prof. Kithure Kindiki inaendelea kwa sasa katika Jumba la Mikutano ya Kimataifa la KICC.
Prof. Kindiki amewasili katika jumba...
Kuapishwa kwa Prof. Kindiki: KICC yafurika watu
Jumba la Mikutano ya Kimataifa la KICC limefurika watu wengi ambao waliamka asubuhi na mapema kushuhudia kuapishwa kwa Naibu Rais mteule Prof. Kithure kindiki.
Viongozi...
Prof. Kindiki kuapishwa kama Naibu Rais
Prof. Kithure Kindiki yuko huru kula kiapo cha kuhudumu kama Naibu Rais.
Hii ni baada ya jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ambao ni...
Gachagua achechemea mahakamani, apoteza wadhifa wake kama Naibu Rais
Naibu Rais aliyebanduliwa madarakani Rigathi Gachagua kwa mara nyingine amepata pigo mahakamani.
Hii ni baada ya jopo la majaji watatu Mahakama Kuu kuondoa maagizo...
Maaafisa wa afya wanagenzi wapigwa kumbo na mahakama
Ni pigo kwa maafisa wa afya wanagenzi ambao wamekuwa wakipigania malipo bora nchini.
Hii ni baada ya Mahakama ya Wafanyakazi huko Uasin Gishu kudumisha viwango...
Kamatakamata za kiholela zawatia tumbo joto mabalozi 9 wa nchi za...
Mabalozi tisa wanaowakilisha nchi mbalimbali za kigeni wamesitisha kimya chao na kulalamikia visa vinavyoongezeka vya watu kutekwa nyara kiholela na kupotea humu nchini.
Hii ni...