Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
596 POSTS 0 COMMENTS

Martha Koome: Kifo cha Jaji Ogembo ni pigo kubwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome amekitaja kifo cha Jaji wa Mahakama Kuu Daniel Ogembo kuwa pigo kwa idara ya mahakama.  Kifo cha Jaji Ogembo kinaifanya kuwa...

ODM yaunga mkono mazungumzo ya kitaifa

0
Chama cha ODM kimeunga mkono kufanyika kwa mazungumzo yanayokusudia kuangazia masuala mbalimbali yanayolikumba taifa.  Uamuzi huo umefikiwa leo Jumatano wakati wa mkutano wa wabunge wa...

Jaji wa Mahakama Kuu Daniel Ogembo afariki

0
Idara ya Mahakama kwa mara nyingine imepata pigo kufuatia kifo cha Jaji Daniel Ogembo.  Hadi kifo chake, Jaji Ogembo alisimamia Mahakama Kuu ya Siaya. Ripoti za...

Gavana Mwangaza wa Meru mashakani tena?

0
Mivutano imeibuka tena kati ya Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza na bunge la kaunti hiyo.  Hii ni baada ya Wawakilishi Wadi kuwasilisha hoja...

Wanahabari Kiambu waandamana, walaani kupigwa risasi kwa Catherine Wanjeri

0
Wanahabari mjini Kiambu wameandamana leo Jumatano kulalamikia kupigwa risasi kwa mwenzao mjini Nakuru wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z jana Jumanne.  Wamelaani vikali...

Serikali yapongezwa kwa kuondoa Mswada wa Fedha 2024

0
Wadau katika sekta ya vyombo vya habari chini ya mwavuli wa Kenya Media Sector Working Group (KMSWG) wameipongeza serikali kwa kuridhia kuondoa Mswada tata...

Harambee harambee…sasa zimepigwa marufuku

0
Hakuna afisa yeyote wa serikali wala mtumishi wa umma atakayeruhusiwa kushiriki hafla za uchangishaji fedha, almaarufu Harambee.  Marufuku hiyo inakuja wakati ambapo maafisa wa serikali...

Rais Ruto: Nitafanya mabadiliko serikalini hivi karibuni

0
Rais William Ruto ametangaza kuwa ataifanyia mabadiliko serikali yake ya Kenya Kwanza hivi karibuni.  Ruto amesema mabadiliko hayo yanakusudia kuboresha utendakazi wa serikali ambayo imeshutumiwa...

Bajeti za Rachel Ruto, Dorcas Rigathi na Tessie Mudavadi zaondolewa

0
Bajeti zilizokuwa zikitengewa Ofisi za Mke wa Rais Rachel Ruto, Mke wa Naibu Rais Dorcas Rigathi na Mke wa Kinara wa Mawaziri Tessie Mudavadi...

Rais Ruto: Ukifikisha umri wa miaka 60, naomba ustaafu kwa amani

0
Watumishi wa umma wametakiwa kuhakikisha wanafunga virago na kwenda nyumbani punde wafikishapo umri wa miaka 60.  Kumekuwa na visa vilivyokithiri vya watumishi hao kutaka kuongezewa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS