Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
741 POSTS 0 COMMENTS

Maseneta wapigwa marufuku kusafiri nje ya nchi

0
Maseneta na wafanyakazi wa Bunge la Seneti wamepigwa marufuku kusafiri nje ya nchi kwa kipindi cha yamkini wiki mbili zijazo.  Spika Amason Kingi anasema hatua...

Rais Ruto amteua Munyori Buku kuwa mkuu wa PCS

0
Munyori Buku ndiye Mkuu mpya wa Idara ya Mawasiliano ya Rais, PCS. Awali, wadhifa huo ulishikiliwa na David Mugonyi ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi Mkuu...

KHRC yapinga ombi la Kenya kujiunga na Baraza la Haki za...

0
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu nchini, KHRC limepinga ombi la Kenya la kutaka kujiunga na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa...

Wizara ya Afya Ukanda wa Gaza yasema watu zaidi ya 42,000...

0
Wizara ya Afya katika Ukanda wa Gaza inasema watu wasiopungua 42,010 wamefariki katika vita vinavyoendelea kati ya Israel na wanamgambo wa Palestina. Idadi hiyo...

Kikao cha Maseneta wote kuamua hatima ya Gachagua wiki ijayo

0
Kikao cha Maseneta wote kitaamua hatima ya Naibu Rais Rigathi Gachagua wiki ijayo.  Hii ni baada ya Maseneta leo Jumatano asubuhi kukataa pendekezo la kubuni...

Bunge la Taifa lapitisha hoja maalum ya kumtimua Gachagua

0
Bunge la Taifa limepiga kura na kupitisha hoja maalum ya kumuondoa madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.  Hii ni baada ya wabunge 281 kuunga mkono hoja...

NCIC yaelezea hofu juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini

0
Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Maridhiano, NCIC imeelezea mashaka juu ya joto la kisiasa linalozidi kupanda nchini.  Tume hiyo sasa inatoa wito kwa Wakenya...

Bunge: Asilimia 65 ya Wakenya waliunga mkono hoja ya kumtimua Gachagua

0
Asilimia 65.11 ya Wakenya katika kiwango cha maeneo bunge waliunga mkono kubanduliwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua wakati wa zoezi la kukusanya maoni ya...

Kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais chaendelea bungeni

0
Bunge la Kitaifa kwa sasa linaandaa kikao cha kumbandua madarakani Naibu Rais Rigathi Gachagua.  Mbunge wa Kibwezi Magharibi Mwengi Mutuse amewasilisha bungeni hoja maalum ya...

Ahmed Abdullahi achaguliwa mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana

0
Gavana wa Wajir Ahmed Abdullahi ndiye mwenyekiti mpya wa Baraza la Magavana (CoG).  Hadi kuchaguliwa kwake leo Jumatatu, Abdullahi amekuwa Naibu Mwenyekiti wa baraza hilo. Katika...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS