Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
612 POSTS 0 COMMENTS

Bunge la Taifa kurejelea vikao vyake leo Jumanne

0
Bunge la Taifa litarejelea vikao vyake leo Jumanne baada ya kuwa kwenye mapumziko mafupi ya wiki tatu zilizopita. Itakuwa mara ya kwanza kwa bunge hilo...

KAA yawataka wasafiri kuwasili mapema JKIA

0
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini, KAA umewataka wasafiri kuhakikisha wanawasili mapema katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA ili wasichelewe...

Waandamanaji watakiwa kutoenda maeneo yasiyoruhusiwa

0
Vijana wa Gen Z waliopanga kufanya maandamano leo Jumanne wametakiwa kuhakikisha hawaandamani kuelekea maeneo yasiyoruhusiwa kisheria. Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja amelihakikisha taifa...

EFF: Vijana wa Gen Z waendelee kusimama kidete

0
Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) cha Afrika Kusini kimeelezea kuunga mkono maaandamano ya vijana wa Gen Z wanaoshinikiza kutekelezwa kwa mabadiliko nchini.  EFF imewataka...

Serikali, matabibu wasaini makubaliano ya kurejea kazini

0
Ni afueni kwa wagonjwa katika vituo mbalimbali vya afya vya umma kote nchini baada ya serikali na Chama cha Matabibu nchini, KUCO kutia saini...

Naibu Kamishna Mkuu wa Magereza, wengine 4 washtakiwa kwa ulaghai

0
Naibu Kamishna Mkuu wa Magereza Benjamin Obuya na watu wengine wanne leo Jumatatu wameshtakiwa katika Mahakama ya Kupambana na Ufisadi ya Milimani.  Watano hao wameshtakiwa kwa...

Serikali kuzindua mipango ya kuimarisha uwiano wa kitaifa

0
Serikali kuu inafanya mipango inayolenga kueneza amani katika maeneo mbalimbali kote nchini na pia kuimarisha uwiano wa kitaifa.  Ili kuhakikisha ufanisi wa mipango hiyo, Katibu...

Serikali yasema eneo palipomwagika sodium cyanide sasa ni salama

0
Serikali ya Kenya imetangaza kuwa eneo la Kambembe huko Rironi katika kaunti ya Kiambu palipomwagika kemikali ya sodium cyanide sasa ni salama.  Hii ni baada...

Azimio kwawaka moto, Kalonzo na wenzake watema cheche

0
Mafarakano yamechacha katika muungano wa Azimio kufuatia madai kwamba kiongozi wa muungano huo Raila Odinga ameridhia kuunda serikali ya kitaifa na Rais William Ruto. Baadhi...

Mawaziri 5 wa zamani wapoteza nyadhifa zao

0
Jumla ya mawaziri watano wa zamani wamepoteza nyadhifa zao baada ya kuteuliwa kwa mawaziri wapya kuhudumu katika nyadhifa zao.  Sasa ni rasmi kwamba Susan Wafula...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS