Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
622 POSTS 0 COMMENTS

Justin Muturi ateuliwa kuwa Waziri wa Utumishi wa Umma

0
Wizara ya Utumishi wa Umma hivi karibuni itaongozwa na Waziri mpya. Hii ni baada ya Justin Muturi kupandishwa ngazi kwa kuteuliwa kuongoza wizara hiyo...

Rebecca Miano sasa ahamishiwa Wizara ya Utalii

0
Rebecca Miano sasa ameteuliwa kuwa Waziri mpya wa Utalii.  Wadhifa huo awali ulishikiliwa na Dkt. Alfred Mutua ambaye sasa ameteuliwa kuwa Waziri wa Leba. Akitangaza orodha...

Prof. Ndung’u, Aisha Jumwa, Moses Kuria, Namwamba na Chelugui watemwa

0
Mawaziri wanne katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa inaonekana wametemwa.   Hii ni baada ya nyadhifa zao kukabidhiwa watu wengine na wao kutoteuliwa katika wadhifa wowote ule. Wao...

Murkomen, Mvurya, Mutua na Miano wateuliwa tena kuwa Mawaziri

0
Ni afueni kwa Mawaziri wanne waliohudumu katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa na Rais William Ruto siku chache zilizopita.  Hii ni baada ya wao kuteuliwa tena...

Wanachama wa ODM wateuliwa kuwa Mawaziri

0
Wanachama kadhaa wa ODM, wengine ambao wanahudumu kwa sasa kama wabunge, wameteuliwa na Rais William Ruto kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.  Wao ni pamoja...

Uuzaji wa JKIA: KAA yakanusha madai

0
Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini, KAA hatimaye imesitisha kimya chake na kuzungumia madai kuwa Uwanja wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA umeuzwa.  Katika taarifa...

Wanahabari waandamana, washinikiza uhuru wa vyombo vya habari

0
Wanahabari kote nchini leo Jumatano wanafanya maandamano wakitaka serikali kuhakikisha uhuru wa vyombo vya habari unalindwa na kuheshimiwa.  Maandamano hayo pia yanalenga kulalamikia ukatili wa...

Hatuna nia ya kujiunga na serikali ya Kenya Kwanza, yasema ODM

0
Chama cha ODM kimekanusha madai kuwa kinafanya mazungumzo na utawala wa Kenya Kwanza kwa nia ya kuunda serikali ya muungano.  Chama hicho badala yake kinasema...

Uwanja wa JKIA umeuzwa? Huo ni uongo, asema Mudavadi

0
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amekanusha madai kwamba Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Jomo Kenyatta, JKIA umeuzwa.  Madai yamechipuka katika siku za...

Kanja: Kuingia uwanja wa ndege bila ruhusa haikubaliki

0
Kaimu Inspekta Mkuu wa Polisi Douglas Kanja ameonya kuwa serikali haitakubali mtu yeyote kuingia katika uwanja wa ndege bila kibali.  Aidha, Kanja ameongeza kuwa kuingia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS