Home Authors Posts by Martin Mwanje

Martin Mwanje

Martin Mwanje
604 POSTS 0 COMMENTS

Azimio kwawaka moto, Kalonzo na wenzake watema cheche

0
Mafarakano yamechacha katika muungano wa Azimio kufuatia madai kwamba kiongozi wa muungano huo Raila Odinga ameridhia kuunda serikali ya kitaifa na Rais William Ruto. Baadhi...

Mawaziri 5 wa zamani wapoteza nyadhifa zao

0
Jumla ya mawaziri watano wa zamani wamepoteza nyadhifa zao baada ya kuteuliwa kwa mawaziri wapya kuhudumu katika nyadhifa zao.  Sasa ni rasmi kwamba Susan Wafula...

Mawaziri 6 wa zamani watajwa kwenye Baraza Jipya la Mawaziri

0
Jumla ya Mawaziri sita waliohudumu katika Baraza la Mawaziri lililovunjwa na Rais William Ruto wiki iliyopita wametajwa katika nusu ya kwanza ya Baraza Jipya...

Rais Ruto kulihutubia taifa leo Ijumaa, saa kumi jioni

0
Rais William Ruto leo Ijumaa atalihutubia taifa kutoka Ikulu ya Nairobi.  Rais Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa majira ya saa kumi jioni. Hii itakuwa mara ya pili...

Askofu Sapit: Gen Z wasitishe maandamano kwa sasa

0
Vijana wa Gen Z wametakiwa kusitisha maandamano kwa sasa na kuipatia serikali muda wa kutekeleza mabadiliko wanayoshinikiza nchini.  Serikali kwa upande wake imetakiwa kuhakikisha inatekeleza...

Afisa wa KPA akamatwa kwa ulaghai

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi nchini, EACC imemkamata afisa wa Halmashauri ya Bandari Nchini, KPA kutokana na mgongano wa maslahi na udanganyifu...

KQ: Hitilafu ya mfumo duniani imeathiri utendakazi wetu

0
Shirika la ndege nchini la Kenya Airways, KQ linasema hitilafu ya mfumo inayoshuhudiwa kote duniani imetatiza utendakazi wake.  Hifilafu hiyo imeripotiwa kuathiri usafiri wa ndege...

Serikali yalenga kuangamiza malaria kufikia 2030

0
Serikali imeweka mpango kabambe unaolenga kuangamiza kabisa ugonjwa wa malaria nchini kufikia mwaka 2030. Maambukizi ya ugonjwa huo nchini kwa sasa ni asilimia 6. Katibu...

Martha Koome: Kifo cha Jaji Ogembo ni pigo kubwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome amekitaja kifo cha Jaji wa Mahakama Kuu Daniel Ogembo kuwa pigo kwa idara ya mahakama.  Kifo cha Jaji Ogembo kinaifanya kuwa...

ODM yaunga mkono mazungumzo ya kitaifa

0
Chama cha ODM kimeunga mkono kufanyika kwa mazungumzo yanayokusudia kuangazia masuala mbalimbali yanayolikumba taifa.  Uamuzi huo umefikiwa leo Jumatano wakati wa mkutano wa wabunge wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS