Marion Bosire
EACC kutwaa mali ya aliyekuwa mfanyakazi wa serikali ya kaunti ya...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC imepata maagizo kutoka kwa mahakama kuu ya kutwaa mali ya thamani ya zaidi ya shilingi...
Tamasha la Roast and Rhyme kuandaliwa Jumapili hii nchini Uganda
Tamasha la Roast and Rhyme nchini Uganda linarejelewa Jumapili hii Novemba 3, 2024, katika eneo la ufuoni mwa ziwa Viktoria la Jahazi Pier, Munyonyo...
Diamond ampa Mzee Makosa milioni 10
Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz ambaye jina lake halisi ni Naseeb Abdul leo amekutana na Mzee Makosa na kumtunukia zawadi ya shilingi milioni 10,...
Kanye West na Addidas waafikia makubaliano
Mwanamuziki wa Marekani Kanye West anaripotiwa kuafikia makubaliano nje ya mahakama na kampuni ya Addidas kuhusu mkataba kati yao uliositishwa ghafla.
Hatua hii inaashiria...
Karani wa bunge aitaka KEPSA kutotumia mahakama kukabili miswada bungeni
Karani wa bunge la kitaifa Samuel Njoroge ameomba chama cha sekta ya kibinafsi nchini KEPSA kukoma kutumia mahakama kutatua miswada iliyo bungeni ambayo wanaichukulia...
Wahadhiri wa vyuo vikuu waanzisha mgomo
Wahadhiri wa vyuo vikuu humu nchini wameanzisha mgomo wao hatua ambayo itaathiri pakubwa shughuli za masomo katika vyuo vikuu vya umma nchini.
Chama cha wahadhiri...
Mashabiki wa Durk waandamana nchini Ghana
Mashabiki wa mwanamuziki wa Marekani Lil Durk wameandamana nchini Ghana wakitaka aachiliwe huru.
Wakiwa wamevaa shati tao zenye maandishi "Only The Family" ambalo ni jina...
Diddy adaiwa kulawiti mvulana wa miaka 10
Kesi dhidi ya mwanamuziki na mfanyabiashara Sean Diddy Combs zinazidi kuongezeka kila kuchao na sasa analaumiwa kwa kulawiti mtoto mvulana wa miaka 10 mwaka...
Wabunge wakataa pendekezo la kuondoa marufuku ya mikataba ya umeme
Wabunge wamekataa pendekezo la Wizara ya Nishati la kutaka kwamba agizo lililositisha kuafikiwa kwa mikataba ya ununuzi wa umeme liondolewe.
Viongozi hao wanahisi kwamba hakuna...
Peter Kioi ajitetea baada ya kuchangisha pesa mtandaoni kwa shughuli isiyokuwepo
Jamaa kwa jina Peter Kioi ambaye ana ufuasi wa kiwango cha juu kwenye mtandao wa TikTok amejitetea kuhusiana na tuhuma za kuchangisha pesa bila...