Marion Bosire
Nadia Mukami achukua mapumziko kuangazia afya yake
Mwanamuziki nyota wa Kenya Nadia Mukami ametangaza kwamba amechukua mapumziko ili aweze kuangazia afya yake.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mwimbaji huyo alielezea kwamba alizirai...
Rais Samia amwomboleza Grace Mapunda
Kiongozi wa taifa la Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan leo alimwomboleza mwigizaji mkongwe Grace Mapunda aliyefariki baada ya kuugua kwa muda.
Kupitia mitandao ya kijamii...
Katibu wa chama tawala nchini China awasili nchini Kenya kwa ziara...
Katibu wa Chama tawala nchini China Li Xi, yuko humu nchini kwa ziara rasmi ya siku tatu na anatarajiwa kukutana na Rais William Ruto...
Upasuaji wa maiti ya Gatwiri wathibitisha kilichosababisha kifo chake
Familia ya marehemu mwigizaji na muunda maudhui mitandoni Tabitha Gatwiri imetoa taarifa kuhusu kilichosababisha kifo chake.
Upasuaji ulifanywa katika makafani ya hospitali ya chuo kikuu...
Kuwa mke wa pili sio rahisi – asema Rita Edochie kuhusu...
Shangazi ya mwigizaji Yul Edochie Rita Edochie ambaye pia ni mwigizaji, amemtupia maneno mke wa pili wa Yul, Judy Austin.
Rita alitumia akaunti yake ya...
Mwigizaji Alan Rachins amefariki
Mwigizaji wa Marekani Alan Rachins amefariki akiwa na umri wa miaka 82.
Mke wake aitwaye Joanna Frank ambaye pia ni mwigizaji aliambia wanahabari kwamba Rachins...
Wizara ya sanaa yamwomboleza Grace Mapunda
Wizara ya utamaduni, sanaa na michezo nchini Tanzania, imeungana na wengine kumwomboleza mwigizaji nguli wa kipindi cha "Huba" Grace Mapunda, maarufu kama Tessa.
Wizara hiyo...
Maclean asema alitiliwa dawa kwenye sharubati
Godfrey Mwaijonga MacLean ambaye ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya habari mitandaoni nchini Tanzania iitwayo Dar 24 Media aliyetoweka Oktoba 31, 2024 amepatikana.
Maclean...
Badenoch aahidi mabadiliko katika uongozi wa chama cha Conservative
Kemi Badenoch ameahidi kuleta mabadiliko katika chama cha Conservative cha Uingereza baada ya kuibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha uongozi wa chama hicho.
Ameahidi kurejesha wapiga...
Gachagua awataka wabunge kupitisha mswada wa kahawa haraka
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, amewataka wabunge watumie kasi waliyotumia kumbandua madarakani, kupitisha mswada wa Kahawa wa mwaka jana.
Gachagua alikuwa akihutubia umati uliokuwa ukihudhuria...