Marion Bosire
Madai ya ubaguzi: Mameneja wa BAT wahojiwa na bunge
Kamati ya Biashara, Viwanda na Ushirika inaendeleza uchunguzi wake kuhusu madai kwamba kampuni za kimataifa zinabagua wawekezaji wa humu nchini wa sekta ya uchukuzi...
Kamati ya bunge kuhusu maji yahoji matumizi yaliyopitiliza ya fedha katika...
Kamati ya bunge kuhusu Uchumi wa baharini, Maji na unyunyiziaji mashamba maji ikiongozwa na mwenyekiti Kangogo Bowen mbunge wa Marakwet Mashariki ilikutana na wawakilishi...
Mpango wa kurejea kazini wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege waafikiwa
Wafanyakazi wa viwanja vya ndege waliokuwa wakigoma kuanzia usiku wa manane jana sasa wameafikia makubaliano ya kurejelea kazi na wawakilishi wa mashirika husika na...
Mahakama ya upeo yamaliza kusikiliza rufaa ya sheria ya fedha ya...
Mahakama ya upeo leo imehitimisha kusikiliza Ombi lililotolewa na asasi mbali mbali za serikali ikiwa ni pamoja na Bunge, afisi ya Mwanasheria Mkuu na...
Gravity Omutujju asema Bobi Wine alimkasirikia
Mwanamuziki wa Uganda wa mtindo wa Rap Gravity Omutujju amefafanua kiini cha uhusiano mbaya uliopo kati yake na mwanamuziki mwenza Bobi Wine ambaye pia...
Stevo Simple Boy adai msamaha kwa Kiengei
Mwanamuziki Stevo Simple Boy sasa anataka msamaha kutoka kwa Askofu wa kanisa la JCM Benson Gathungu maarufu kama Muthee Kiengei.
Tangazo la Simple Boy linajiri...
Waziri Duale aitaka idara ya utabiri wa hali ya hewa kutoa...
Waziri wa mazingira Aden Duale ametoa changamoto kwa Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya (KMD) kutoa utabiri sahihi wa hali ya hewa wakati...
Awamu ya kwanza ya tamasha la maigizo ya ukumbini la Lagos...
Tamasha la kimataifa la maigizo ya ukumbuni la Lagos litazinduliwa rasmi mwezi Novemba mwaka huu wa 2024 na linatizamiwa kukutanisha wadau wa sekta hiyo...
Portable aelezea sababu ya kumkasirikia Davido
Mwanamuziki wa Nigeria Portable hatimaye ameelezea ni kwa nini amekasirishwa na mwanamuziki mwenzake Davido.
Katika mahojiano kwenye kipindi Echo Room, Portable alisema kwamba sababu kuu...
Kamati ya ulinzi ya bunge yazuru KMC
Kamati ya Bunge ya Ulinzi imetoa wito kwa kampuni ya nyama ya Kenya (KMC) kuharakisha juhudi zake za kupata leseni ya kuunda bidhaa za...