Marion Bosire
Bobi Wine aondoka hospitalini
Mwanamuziki na mwanasiasa Bobi Wine aliruhusiwa kuondoka hospitalini jana alikopelekwa Jumanne baada ya kujeruhiwa mguu katika makabiliano na maafisa wa polisi.
Awali wasaidizi wake walitangaza...
Mwigizaji Winnie Bwire afariki
Mwigizaji maarufu Winnie Bwire amefariki. Anaripotiwa kuaga dunia akiendelea kupokea matibabu ya saratani kwenye hospitali moja nchini Uturuki kulingana na familia yake.
Bwire amekuwa akiugua...
Waziri Mvurya akutana na katibu mkuu wa ACFTA
Waziri wa biashara, uwekezaji na viwanda Salim Mvurya, leo alikuwa mwenyeji wa katibu mkuu wa mpango wa eneo huru la kibiashara barani Afrika almaarufu...
Kiengei akutana na Pritty Vishy na usimamizi wake
Askofu Benson Gathungu Kamau maarufu kama Muthee Kiengei leo amefanya mkutano na mwanamitandao Pritty Vishy na usimamizi wake baada ya kukashifiwa vikali mitandaoni kwa...
Jamaa ajiteka ili kudai fidia kwa wazazi Tanzania
Jamaa kwa jina Ramadhani Shaban wa umri wa miaka 21 amekamatwa na maafisa wa polisi wa mkoa wa Kigoma kwa madai ya kutoa taarifa...
Hospitali ya Jaramogi mjini Kisumu yapandishwa hadhi
Hospitali ya rufaa na mafunzo ya Jaramogi Oginga Odinga mjini Kisumu imepandishwa hadhi na kuwa shirika la serikali.
Mkurugenzi mtendaji wa hospitali hiyo Daktari Richard...
Meya wa zamani anayetuhumiwa kwa kufanyia China Upelelezi nchini Ufilipino akamatwa
Alice Guo ambaye awali alikuwa meya nchini Ufilipino na ambaye anatuhumiwa kwa kufanyia China upelelezi amekamatwa nchini Indonesia.
Guo amekuwa mafichoni kwa wiki kadhaa na...
Waandalizi wa filamu wapigwa jeki nchini Uganda
Waandalizi wa filamu nchini Uganda wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia kuanzishwa kwa mpango wa kufufua tasnia ya filamu kwa ajili ya kuboresha mapato...
Bobi Wine apigwa risasi mguuni
Mwanamuziki Bobi Wine ambaye pia ni mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda anaripotiwa kupigwa risasi kwenye mguu na maafisa wa polisi katika eneo la Bulindo,...
Vijana 90 wapatiwa vifaa vya kazi Makueni
Vijana wapatao 90 kutoka sehemu mbali mbali za kaunti ya Makueni, wamepatiwa vifaa vya kufanyia kazi na naibu gavana wa kaunti hiyo Lucy Mulili,...