Marion Bosire
Gachagua aondolewa katika wadhifa wa naibu kiongozi wa chama cha UDA
Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameondolewa kwenye wadhifa wa naibu mwenyekiti wa chama tawala UDA, na mahala pake kuchukuliwa na naibu rais Kithure Kindiki.
Katika...
Billnass amsifia mkewe Nandy
Mwanamuziki na mfanyabiashara wa Tanzania William Nicholaus Lyimo maarufu kama Billnass amemsifia mke wake Nandy ambaye pia ni mwanamuziki, anaposherehekea siku ya kuzaliwa.
Kupitia akaunti...
JLO aondoka kwenye hafla ya maonyesho ya filamu baada ya kuulizwa...
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez almaarufu JLO anaripotiwa kuondoka kwenye hafla ya uzinduzi wa filamu yake baada ya kuulizwa kuhusu P Diddy.
Lopez alikuwa amehudhuria...
Kambua atimiza umri wa miaka 40
Mwimbaji wa nyimbo za injili Kambua, ametimiza umri wa miaka 40 na hangeficha furaha yake.
Alichapisha picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo...
Katibu Omollo ahudhuria misa ya vikosi vya usalama
Katibu wa usalama wa taifa Raymond Omollo alijiunga na maafisa wa vikosi mbali mbali vya usalama nchini kwa misa yao ya kila mwaka ya...
Qatar yasimamisha upatanishi kati ya Israel na Hamas
Qatar imetangaza kusitishwa kwa juhudi za kupatanisha Israel na Hamas hadi pale ambapo pande husika zitadhihirisha utayari na umakini wa kusitisha vita.
Haya yanajiri baada...
Msichana wa miaka 11 ajiua Kakamega
Msichana wa miaka kumi na moja ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano kutoka mtaa wa Shikhambi, viungani mwa mji wa Kakamega, anadaiwa kujitia...
Mshukiwa wa ujambazi akamatwa katika kaunti ya Kakamega
Maafisa wa polisi katika eneo bunge la Malava kaunti ya Kakamega wanamzuilia mshukiwa mmoja sugu wa uhalifu katika eneo hili baada ya kumnasa na...
Serikali kusaidia wagonjwa waliokwama ughaibuni
Katika hatua inayokusudiwa kusaidia wakenya wanaokabiliwa na dharura za afya ughaibuni, serikali imesisitiza kujitolea kusaidia waliokwama ughaibuni kwa kukosa ada ya hospitali.
Haya yanajiri wakati...
Visa vitatu zaidi vya Mpox vyagunduliwa, Wakenya watakiwa kuwa macho
Wizara ya Afya imethibitisha kupitia taarifa, kugunduliwa kwa visa vitatu zaidi vya ugonjwa wa Mpox nchini Kenya.
Visa hivyo viligunduliwa katika kaunti za Mombasa, Nakuru...