Marion Bosire
Profesa Jay achapisha picha kuonyesha yuko salama
Mwanamuziki wa muda mrefu nchini Tanzania Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay alilazimika kuchapisha picha kwenye akaunti yake ya Instagram kudhibitisha kwamba yuko salama.
Chini...
Waziri Chirchir asema hakuna makubaliano yameafikiwa kati ya KAA na Adani
Waziri wa barabara na uchukuzi Davis Chirchir, amefafanua kwa Kamati ya bunge la seneti kuhusu barabara na uchukuzi kwamba hakuna makubaliano yaliyopo kati ya...
Moto waripotiwa katika shule ya Katoloni kaunti ya Machakos
Kisa cha moto kiliripotiwa usiku wa kuamkia leo katika shule ya sekondari ya Katoloni katika kaunti ya Machakos.
Shirika la msalaba mwekundu nchini liliripoti kwamba...
Raia wa Marekani, Uhispania na Czech wazuiliwa nchini Venezuela
Venezuela imewazuilia raia watatu wa Marekani, Wahispania wawili na raia wa Czech kutokana na madai ya njama ya kuyumbisha taifa hilo la Amerika Kusini....
Akiba na mikopo Kwale
Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani amezindua rasmi usambazaji wa Kompyuta 20 pamoja na vichapishaji kwa hazina za akiba na mikopo kwa wakulima...
Mohbad akumbukwa na mkewe mwaka mmoja tangu alipoaga dunia
Mke wa mwanamuziki wa Nigeria Ilerioluwa Oladimeji Aloba ambaye wengi walimgfahamu kama Mohbad amemkumbuka anapoadhimisha mwaka mmoja tangu alipoaga dunia.
Wunmi alitumia mitandao ya kijamii...
Wakazi wa Nyacaba waomboleza kifo cha mtoto aliyeuawa na fisi
Familia, marafiki, na wanajamii walikusanyika kumuaga mtoto mdogo prince njoroge gitau, mvulana wa miaka mitano aliyeuawa kikatili na fisi katika kijiji cha flat, Nyacaba...
P Diddy akabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji
Mwanamuziki wa Marekani Sean ‘Diddy’ Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji na kumtumia vibaya mmoja wa washiriki wa kipindi chake cha runinga kilichofahamika...
Mikie Wine amtetea Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake
Mwanamuziki wa Uganda Michael Mukwaya maarufu kama Mikie Wine amemtetea kakake mkubwa Bobi Wine kwa kutohudhuria tamasha lake wikendi iliyopita.
Mikie aliandaa tamasha katika eneo...
Polisi watumia vitoa machozi kutawanya wafanyabiashara walioandamana Nairobi
Maafisa wa polisi wamelazimika kutumia gesi ya kutoza machozi kutawanya waandamanaji wafanyabiashara waliofunga barabara za kuingia katikati ya jiji la Nairobi karibu na soko...