Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1364 POSTS 0 COMMENTS

Gloria Muliro kuandaa tamasha New York Marekani

0
Mwimbaji wa nyimbo za injili Gloria Muliro ametangaza ujio wa tamasha lake la nyimbo za injili litakaloandaliwa jijini New York nchini Marekani. Aliweka tangazo la...

Selena Gomez afichua kwamba hana uwezo wa kupata watoto

0
Mwimbaji na mwigizaji Selena Gomez wa umri wa miaka 32 ameshangaza wengi baada ya kukiri kwamba hawezi kupata watoto kutokana na hali yake ya...

Mwigizaji James Earl Jones afariki

0
Mwigizaji wa Marekani James Earl Jones amefariki akiwa na umri wa miaka 93. Kulingana na familia yake alikata roho asubuhi ya Jumatatu Septemba 9,...

Sarah Hassan afurahia baada ya kuangaziwa na jarida la Forbes Africa

0
Mwigizaji wa Kenya Sarah Hassan amejawa na furaha baada ya kuangaziwa na jarida la Forbes Africa. Jarida hilo huchukuliwa kuwa la hadhi ya juu. Huwa...

Portable matatani baada ya kuonekana kwenye video akidhulumu mhubiri

0
Mwanamuziki wa Nigeria Portable ambaye jina lake halisi ni Habeeb Olalomi Badmus amezua ghadhabu kali kati ya watumizi wa mitandao nchini Nigeria. Video hiyo inamwonyesha...

Sammie na Shawa waomba msamaha

0
Wachekeshaji wa Uganda Sammie na Shawa wameomba msamaha hadharani kufuatia igizo lao ambalo lilionekana kuwaghadhabisha wafuasi wa mwanamuziki Bobi Wine. Wafuasi wa Wine ambaye pia...

Wahandisi wahimiza ujumuishaji katika kuboresha JKIA

0
Wahandisi wa humu nchini sasa wanapendekeza kwamba mbinu jumuishi itumike katika mchakato mzima wa kuboresha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, JKIA. Katika...

Miradi ya maji yabadili taswira Kwale

0
Wakazi katika maeneo kame ya Lunga Lunga na Kinango kwa muda mrefu wamekuwa wakitegemea chakula cha msaada kutokana na maeneo hayo kukumbwa na kiangazi...

Vanesa Chettle kusaidiwa na Gavana Bii

0
Mwanamitandao Vanesa Cheruto maarufu kama Vanesa Chettle hatimaye amekutana na Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii ambaye ameanza shughuli ya kumsaidia kurejelea...

Shughuli ya kupiga kura kwa tuzo za TMA yaendelea

0
Wapenzi wa muziki nchini Tanzania wana fursa ya kuwapigia kura wanamuziki wawapendao kwenye tuzo za TMA yaani Tanzania Music Awards. Kipindi cha kupiga kura kilifunguliwa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS