Marion Bosire
Chameleone atumbuiza kwenye Afrofest baada ya kutoka hospitalini
Video ambayo imekuwa ikisambazwa mitandaoni inamwonyesha mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone akiimba jukwaani katika tamasha ya Afrofest nchini Canada.
Lakini anaonekana akiwa ameketi kwenye kiti...
Madonna aendelea kupata nafuu
Mwimbaji Madonna amesema kupitia taarifa kwamba anaendelea kupata nafuu baada ya kuugua na kulazwa hospitalini.
Kwenye taarifa hiyo yake ya kwanza tangu alipolazwa kwenye chumba...
Rais William Ruto azindua kituo kidogo cha umeme Athi River
Rais William Ruto amezindua kituo cha kuzalisha umeme huko Athi River, kaunti ya Machakos. Alizindua kituo hicho jana Jumanne katika kaunti ndogo ya Mavoko.
Kituo...
EAC yazindua programu ya mtandaoni kutathmini vituo vya mpakani
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC imezindua programu ya mtandaoni ambayo itasaidia kutathmini ufanisi wa vituo vya mpakani 22 kote katika eneo hilo.
Katibu Mkuu wa...
Muungano wa Azimio wazindua tovuti ya kukusanya sahihi
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, umezindua tovuti ya kuendeleza na kuboresha mpango wa kukusanya sahihi milioni 15. Uzinduzi wa tovuti hiyo www.tumechoka.com...
Njugush ajibu madai ya JuaCali
Mchekeshaji Njugush amesema hatishwi na wasiokubali kazi yake kama mchekeshaji. Aliyasema haya baada ya mwanamuziki JuaCali kutoa maoni kuhusu kazi yake ambapo alisema Njugush...
Familia ya Aretha Franklin yaelekea mahakamani kwa sababu ya mali yake
Kesi ya urithi wa mali ya marehemu mwanamuziki Aretha Franklin ilianza jana Jumatatu katika mahakama moja huko Michigan. Kesi hiyo inahusisha watoto wake wa...
Blackface asema Wizkid na Burnaboy waliiba nyimbo zake
Mwanamuziki wa muda mrefu nchini Nigeria Ahmedu Augustine Obiabo anayefahamika sana kama Blackface amesema kwamba wanamuziki Wizkid na Burna Boy waliiba nyimbo zake na...
Rais wa Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev achaguliwa tena
Rais wa Uzbekistan Shavkat Mirziyoyev amechaguliwa tena kuongoza nchi hiyo baada ya kuzoa asilimia 87.1 ya kura zote zilizopigwa kwenye uchaguzi wa Jumapili. Haya...
KNUT yapinga kushushwa vyeo kwa walimu wakuu
Chama cha walimu KNUT kimepinga pendekezo la jopo lililobuniwa na rais kumshauri kuhusu mageuzi katika sekta ya elimu la kuwashusha vyeo walimu wakuu wa...