Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1477 POSTS 0 COMMENTS

MCK yalaani hatua ya maafisa wa usalama kujisingizia kuwa wanahabari

0
Baraza la Vyombo vya Habari Nchini - MCK limelaani hatua ya maafisa wa polisi kujifanya kuwa wanahabari ambao wanaangazia matukio kwenye maandamano yanayoendelea huku...

Maafisa wa mawasiliano serikalini wahimizwa kuwasilisha ipasavyo ajenda ya serikali

0
Katibu katika Idara ya Utangazaji na Mawasiliano Prof. Edward Kisiang'ani amewahimiza maafisa wa mawasiliano katika idara mbalimbali za serikali kubuni mikakati mahsusi ya kuwasilisha...

Rais Vladimir Putin kukosa mkutano wa BRICS nchini Afrika Kusini

0
Rais wa Urusi Vladimir Putin hatahudhuria mkutano wa nchi za BRICS ambazo ni Brazil, Urusi, India na China utakaoandaliwa nchini Afrika Kusini Agosti, 2023,...

Majaji wa kusikiliza kesi ya kupinga sheria ya fedha wateuliwa

0
Jaji Mkuu Martha Koome ameteua jopo la majaji watatu litakalosikiliza na kuamua kesi ya kupinga sheria ya fedha ya mwaka 2023. Jaji David Majanja ataongoza...

Azimio yasema maandamano kuendelea wiki hii

0
Viongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya wametangaza kwamba maandamano yataendelea kama ilivyopangwa kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa wiki hii. Kwenye kikao na...

Shirika la IMF laidhinisha mkopo kwa Kenya

0
Shirika la hazina ya kimataifa ya fedha IMF limeidhinisha mkopo mwingine kwa serikali ya Kenya, baada ya kutimiza mahitaji yote kwenye awamu ya tano...

Filamu ya matukio halisi kuhusu Bobi Wine kuzinduliwa

0
Filamu ya matukio halisi kuhusu kiongozi wa upande wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine imeandaliwa na itazinduliwa Julai 28, 2023...

Waziri Namwamba ashauriana na mwakilishi wa UNDP kuhusu masuala ya viajana

0
Waziri wa Mambo ya Vijana, Sanaa na Michezo Ababu Namwamba alishiriki mazungumzo na mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo, UNDP Ahunna...

Mchungaji Dorcas Rigathi kuanzisha vituo vya kuwarekebisha tabia waraibu wa mihadarati

0
Mkewe Naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi ana mpango wa kuzindua vituo vya kutibu na kurekebisha tabia waraibu wa pombe na mihadarati nchini. Mchungaji huyo...

Askofu Gilbert Deya aondolewa mashtaka ya ulanguzi wa watoto

0
Mhubiri Gilbert Deya ameondolewa mashtaka ya ulanguzi wa watoto kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha. Hakimu Robinson Ondieki alisema kwamba Deya hakuhusika kwenye wizi...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS