Marion Bosire
Janet Museveni alaani shambulizi katika shule ya Mpondwe, Lhubiliriha
Mkewe Rais wa Uganda Janet Museveni ambaye pia ni Waziri wa Elimu nchini humo amelaani shambulizi la kigaidi lililotekelezwa katika shule ya upili ya...
Wanajeshi wa Sudan na kundi la RSF waafikiana kusitisha mapigano wa...
Pande zinazozozana nchini Sudan ambazo ni jeshi la taifa hilo na kundi la Rapid Support Forces, RSF zimekubaliana kusitisha mapigano kwa muda wa siku...
Michael Jordan kuuza hisa nyingi za timu yake ya Charlotte Hornets
Michael Jordan ambaye awali alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu anasemekana kuendeleza mpango wa kuuza hisa nyingi za timu ya mpira wa kikapu ambayo...
Rais Cyril Ramaphosa asema lazima vita nchini Ukraine vikome
Kiongozi wa Afrika Kusini alisema hayo wakati yeye na viongozi wengine sita kutoka Bara Afrika walikutana na Rais Vladmir Putin wa Urusi jijini St...
Mwigizaji wa Nollywood Don Brymo ameaga dunia
Mwigizaji wa muda mrefu nchini Nigeria au ukipenda Nollywood Don Brymo Uchegbu ameaga dunia.
Brymo wa miaka 56 anasemekana kukata roho akiwa usingizini usiku wa...
Bill Cosby ashtakiwa tena kwa dhuluma za kimapenzi
Bill Cosby ameshtakiwa tena kwa dhuluma za kimapenzi, visa vinavyosemekana kutokea miaka ya awali.
Janice Dickinson na Lili Bernard ni kati ya wanawake tisa ambao...
Tory Lanez kuhukumiwa mwezi Agosti
Mwanamuziki wa Canada anayeishi Marekani Tory Lanez atasomewa hukumu ya kesi aliyoshtakiwa na mwanamuziki mwenza Megan Thee Stallion mwezi Agosti. Jaji wa mahakama ya...
Mwigizaji Johnny Depp kutoa pesa zote alizolipwa na aliyekuwa mke wake...
Mwigizaji wa Marekani John Christopher Depp II maarufu kama Johnny Depp ameamua kutoa pesa zote alizolipwa na aliyekuwa mke wake Amber Heard baada ya...
Muziki wa Genge Wajumuishwa Kwenye Tuzo za Grammy
Aina ya muziki wa Genge ambao asili yake ni Kenya umejumuishwa kwenye tuzo za Grammy. Hii ni baada ya Recording Academy ambayo huandaa...