Marion Bosire
Filamu ya matukio halisi kuhusu Bobi Wine kuzinduliwa
Filamu ya matukio halisi kuhusu kiongozi wa upande wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine imeandaliwa na itazinduliwa Julai 28, 2023...
Waziri Namwamba ashauriana na mwakilishi wa UNDP kuhusu masuala ya viajana
Waziri wa Mambo ya Vijana, Sanaa na Michezo Ababu Namwamba alishiriki mazungumzo na mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo, UNDP Ahunna...
Mchungaji Dorcas Rigathi kuanzisha vituo vya kuwarekebisha tabia waraibu wa mihadarati
Mkewe Naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi ana mpango wa kuzindua vituo vya kutibu na kurekebisha tabia waraibu wa pombe na mihadarati nchini. Mchungaji huyo...
Askofu Gilbert Deya aondolewa mashtaka ya ulanguzi wa watoto
Mhubiri Gilbert Deya ameondolewa mashtaka ya ulanguzi wa watoto kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha.
Hakimu Robinson Ondieki alisema kwamba Deya hakuhusika kwenye wizi...
Viongozi wa kidini wasema wako tayari kupatanisha serikali na upinzani
Askofu mkuu wa jimbo kuu la Nairobi la kanisa Katoliki Philip Anyolo anasema kwamba viongozi wa kidini sasa wako tayari kupatanisha Rais William Ruto...
Mjumbe wa Amerika kuhusu tabia nchi John Kerry awasili China
John Kerry, mjumbe wa Amerika kuhusu tabia nchi yuko nchini China kwa ziara ya kikazi ya siku nne ambayo ilianza Jumapili Julai, 16, 2023....
Maafisa wa polisi waandaa mkutano wa injili mjini Meru
Maafisa wa polisi kutoka sehemu mbali mbali nchini waliandaa mkutano wa injili mjini Meru, hatua iliyogusa wakazi wa eneo hilo.
Mtindo wa kuhuburi wa...
Kimani Ichung’wah adai Raila Odinga anataka ‘Handshake’
Kiongoozi wa walio wengi katika bunge la taifa Kimani Ichung’wah sasa anadai kwamba kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Coalition Raila...
Kenya yaandaa kongamano la Umoja wa Afrika la katikati ya mwaka
Awamu ya 5 ya kongamano la katikati ya mwaka la ushirikiano baina ya Umoja wa Afrika, AU na mashirika ya kikanda ya kiuchumi unaandaliwa...
Wavulana 2 wajeruhiwa kwa kushukiwa kuiba mananasi Thika
Wavulana wawili wanauguza majeraha mabaya katika hospitali ya Thika level 5 baada ya kugongwa makusudi na gari la walinzi wa kampuni ya Del Monte...