Marion Bosire
Elon Musk na Mark Zuckerberg wakubali kushindana kwenye pigano kizimbani
Elon Musk na Mark Zuckerberg ambao ni wawekezaji wakuu katika teknolojia wamekubali kushindana kwenye pigano kizimbani.
Musk ambaye ni mmiliki wa mtandao wa Twitter alisema...
Magavana kushirikiana na wadau kuboresha sekta ya afya
Magavana wameelezea kujitolea kwao kushirikiana na washirika wa kimaendeleo katika kuharakisha mabadiliko katika sekta ya afya katika kaunti.
Mwenyekiti wa Baraza la Magavana Anne...
Kitabu cha Yvonne Nelson chasisimua wengi
Mwigizaji wa Ghana Yvonne Nelson amezindua kitabu alichoandika kuhusu maisha yake kiitwacho "I Am Not Yvonne Nalson" ambacho kimesisimua wengi katika sekta ya burudani...
UN: Wanawake na wasichana wameathirika zaidi na uvamizi wa mfumo wa...
Shirika la Afya Duniani, WHO na lile la UNFPA ambalo ni shirika la Umoja wa Mataifa, UN linaloshughulikia afya ya uzazi jana Jumatano yalionya...
Wanafunzi milioni 4 kunufaika na mpango wa lishe shuleni
Rais William Ruto amesema wanafunzi milioni 4 watanufaika na mpango wa lishe shuleni. Idadi hiyo itaongezwa kutoka wanafunzi milioni 1.6 ambao wamekuwa wakinufaika.
Akizungumza Jumanne...
Uchunguzi wa miili 94 iliyofukuliwa Shakahola waanza
Mpango wa upasuaji na uchunguzi wa maiti 94 zilizofukuliwa kutoka msitu wa Shakahola umeanza leo Jumatatu.
Shughuli hiyo inaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa maiti...
Stima Sacco yazindua tawi jipya katikati ya jiji la Nairobi
Chama cha Akiba na Mikopo cha Stima, Stima Sacco kimezindua tawi jipya katikati ya jiji la Nairobi katika jumba la Electricity House.
Hatua hii inanuiwa...
COWU yaiomba serikali isaidie kampuni ya Telkom
Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano Nchini, COWU kimeiomba serikali isaidie kampuni ya Telkom isije ikafilisika.
Katibu Mkuu wa chama hicho Benson Okwaro anasema...
Victorien Adebayor kuchezea Simba SC ya Tanzania
Mchezaji wa mpira wa miguu Victorien Adebayor huenda akachezea klabu cha Simba SC kwenye ligi kuu nchini Tanzania. Wing'a huyo alionekana jijini Dar es...
Maafisa wa GSU wajeruhiwa baada ya gari kukanyaga kilipuzi Lamu
Takriban maafisa 10 wa GSU walijeruhiwa Jumapili asubuhi wakati gari walimokuwa wakisafiria kukanyaga kilipuzi kilichokuwa kimetegwa chini ya ardhi.
Kilipuzi hicho kinakisiwa kutegwa na wanamgambo...