Marion Bosire
Nembo ya Twitter kubadilika
Mmiliki wa mtandao wa kijamii wa Twitter Elon Musk amesema atabadili nembo ya mtandao huo. Aliandika kwenye ukurasa wake wa mtandao huo huo kwamba...
Wakfu wa KEPSA, Mama Doing Good zaingia kwenye mapatano
Wakfu wa muungano wa sekta ya kibinafsi nchini - KEPSA Foundation - umetia saini mkataba na shirika la mkewe rais la Mama Doing Good,...
Mkewe rais Rachel Ruto aanzisha mpango wa mashamba ya matunda shuleni
Afisi ya mke wa rais Bi. Rachel Ruto kupitia kwa shirika lake la "Mama Doing Good" imeanzisha mpango wa mashamba ya matunda shuleni, kote...
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alazwa hospitalini
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelazwa hospitalini ili kupata huduma ya dharura ya kuwekewa kifaa cha kusaidia kuongeza kasi ya moyo kupiga.
Haya yanajiri...
Naibu Rais Rigathi Gachagua kuhudhuria kongamano kuhusu chakula huko Italia
Naibu Rais Rigathi Gachagua aliondoka nchini Jumamosi kuelekea Italia kwa kongamano la siku tatu la shirika la umoja wa mataifa kuhusu kukadiria mifumo ya...
Ndege ya jeshi yahusika kwenye ajali
Ndege moja ndogo ya jeshi la wanahewa imeanguka jioni ya leo punde baada ya kupaa kutoka uwanja wa michezo wa Chemolingot huko Baringo.
Ndege...
Mlipuko wapasua barabara jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini
Mtu mmoja alipoteza maisha na wengine zaidi ya 40 kuachwa na majeraha baada ya kile kinachoshukiwa kuwa mlipuko wa gesi kutokea kwenye eneo moja...
Afisa wa Kaunti adaiwa kuuawa na yaya Kilifi
Afisa mkuu wa serikali ya kaunti ya Kilifi ambaye alikuwa anasimamia masuala ya uvuvi na uchumi wa baharini Rahab Karisa ameaga dunia.
Karisa anasemekana kuuawa...
Wapelelezi wazuru makazi ya Tupac Shakur miaka 27 tangu kuuawa kwake
Maafisa wa polisi huko Nevada nchini Amerika wamethibitisha kwamba walitoa kibali hivi maajuzi cha kufanya uchunguzi nyumbani kwa matehemu Tupac Shakur, kuhusiana na kesi...
Bei ya ngano yaongezeka ulimwenguni kufuatia tangazo la Urusi
Bei ya ngano imeongezeka sana katika masoko ulimwenguni kufuatia tangazo la Urusi kwamba italenga meli zitakazokuwa zikielekea kwenye bandari za Ukraine.
Urusi ilijiondoa wiki hii...