Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1385 POSTS 0 COMMENTS

Wasichana 5,000 kunufaika na visodo na elimu ya maisha

0
Wasichana 5,000 watanufaika na ufadhili wa  visodo, mafunzo kuhusu kubalehe na ujuzi wa maisha kwa jumla, kufuatia ushirikiano kati ya afisi ya Mke wa...

Wanapatholojia wakamilisha awamu ya tatu ya ukaguzi wa miili Shakahola

0
Kundi la wanapatholojia na majasusi limekamilisha awamu ya tatu ya uchunguzi wa miili ambayo ilifukuliwa kutoka msitu wa Shakahola inayoaminika kuwa ya wafuasi wa...

Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala kuhudhuria mikutano ya Baraza la...

0
Rais William Ruto amemkubalia Katibu Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance, UDA Cleophas Malala awe akihudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri. Hatua hii...

Muungano wa watayarishaji muziki nchini wamrejesha Angela Ndambuki kama mwenyekiti

0
Muungano wa watayarishaji muziki nchini - Kenya Association of Music Producers (KAMP) - umemrejesha Angela Ndambuki kwenye wadhifa wa mwenyekiti. Bi. Ndambuki alichaguliwa kwa...

Gravity Omutujju asema Cindy hahitajiki kwenye shirikisho jipya la wanamuziki

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Rap nchini Uganda Gravity Omutujju anaamini kwamba rais wa muungano wa wanamuziki nchini humo UMA Cinderella Sanyu maarufu kama Cindy...

Waziri wa Afya Susan Nakhumicha aapa kumaliza ufisadi KEMSA

0
Waziri wa Afya Susan Susan Nakhumicha aameapa kumaliza ufisadi katika shirika la kusambaza dawa na vifaa vya matibabu nchini KEMSA na hazina ya kitaifa...

Kenya yateuliwa kuongoza vita dhidi ya biashara ya silaha ndogo ndogo...

0
Kenya imekabidhiwa jukumu la kuongoza harakati za kukomesha biashara ya silaha ndogo ndogo katika eneo la maziwa makuu na upembe wa Afrika. Kenya inachukua uenyekiti...

Magari yateketea kwenye shindano la mbio za magari Botswana

0
Magari yapatayo 49 yaliteketea katika mji wa Jwaneng nchini Botswana Jumapili, Juni 25, 2023 ambapo wamiliki walikuwa wamefika kushuhudia shindano la uendeshaji magari jangwani. Ajali...

Waziri Owalo akutana na viongozi wa dini

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano, Teknolojia na uchumi wa Dijitali Eliud Owalo alikuwa mwenyeji wa viongozi wa dini wapatao 300 kutoka eneo la Nyanza. Katika...

Pallaso asema tamasha la London litafana hata bila yeye

0
Mwanamuziki wa Uganda Pius Mayanja au ukipenda Pallaso amesema kwamba tamasha ambalo alikuwa amepangiwa kuhudhuria jijini London, Uingereza kama mmoja wa watumbuizaji litakuwa zuri...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS