Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1477 POSTS 0 COMMENTS

Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Mali

0
Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo maafisa watatu wa serikali ya Mali kwa kile ilichokitaja kuwa kusaidia kupanuka kwa kundi la mamuluki la Wagner kutoka...

Wazee wa vijiji kupokea marupurupu

0
Kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa imeidhinisha kutolewa kwa shilingi bilioni 4 kila mwaka ambazo zitatumika kuwapa wazee wa vijiji marupurupu ya kila...

Muungano wa Azimio wafutilia mbali maandamano

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umetangaza kufutiliwa mbali kwa maandamano ambayo yalikuwa yamepangwa kuandaliwa kesho Jumatano. Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, muungano...

Binamuye Sagini ahukumiwa kifungo cha miaka 40

0
Binamu wa mtoto Sagini kwa jina Alex Ochogo amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani kwa kosa la kumng'oa macho mtoto huyo. Shangazi ya Sagini aitwaye...

Viongozi wa dini walalamikia uamuzi wa serikali wa kutosajili makanisa zaidi

0
Muungano wa makanisa na viongozi wa dini nchini CCAK, umelalamikia uamuzi wa serikali wa kukomesha usajili wa makanisa na mashirika zaidi ya kidini nchini. Mwenyekiti...

Bahati alalamikia utawala wa wanamuziki wa Tanzania nchini Kenya

0
Mwanamuziki Kelvin Kioko maarufu kama Bahati analalamika kufuatia kupendeka kwa muziki wa wanamuziki wa nchi jirani Tanzania nchini Kenya. Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii...

Ushindani kati ya Cindy Sanyu na Sheebah Kalunji waendelea

0
Ushindani kati ya wanamuziki wa kike wa Uganda Cindy Santu na Sheebah Kalunji unaendelea kudhihirika. Cindy Sanyu ametangaza kwamba ataandaa tamasha lake tarehe ambayo Sheebah...

Viongozi wa mashinani Siaya kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza

0
Viongozi wa mashinani katika kaunti ya Siaya wamekubaliana kwa kauli moja kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na rais William Ruto. Walikuwa wakizungumza kwenye...

Maandamano: Wazee wa jamii ya Luo wawakosoa polisi

0
Baraza la wazee la jamii ya Luo limelaani kile kinachosemekana kuwa hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji mjini...

Watu 15 kusailiwa kwa wadhifa wa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma

0
Jopo la kuchagua watu watakaosailiwa kwa wadhifa wa mkurugenzi wa mashtaka ya umma lilitoa taarifa Jumamosi kusema kwamba limeteua watu 15 kati ya wote...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS