Marion Bosire
Omondi kunadi viatu vyake kumfadhili Simple Boy
Mchekeshaji Eric Omondi anapanga kuandaa mnada leo Jumatatu Juni 3, 2023 kuuza viatu vyake ili kufadhili mwanamuziki Stevo Simple Boy ambaye ametumbukia kwenye lindi...
Makatibu waandamizi 50 walioteuliwa na Rais kufahamu hatima yao leo
Makatibu waandamizi 50 ambao waliteuliwa na Rais William Ruto mwezi Machi mwaka huu, watafahamu hatima yao leo Jumatatu Juni 3, 2023.
Hii ni pale mahakama...
Kim Kardashian asema amemkosa sana Kanye West
Familia ya Kardashian ina makala mengine mapya ya kipindi chao "The Kardashians" ambayo yanaonyesha Kim Kardashian ambaye alikuwa mke wa mwanamuziki Kanye West akidondosha...
Mwanamke mwingine ajitokeza kudai alitiwa mimba na Davido
Mwanamuziki wa Nigeria Davido amehusishwa na mimba za wanawake wawili Anita Brown wa Amerika na Ivanna Bay kutoka Ufaransa na sasa mwingine amejitokeza.
Dada...
Ghasia zaongezeka Ufaransa na kusababisha Rais Macron kuahirisha ziara Ujerumani
Ghasia zinasemekana kuendelea kuongezeka nchini Ufaransa pale ambapo waandamanaji ambao wengi ni wa umri mdogo walikimbizana na maafisa wa polisi usiku wa Jumamosi Juni,...
RMD asema uteuzi wa Oscar ni zawadi nzuri ya siku ya...
Mwigizaji wa muda mrefu wa filamu za Nigeria Richard Mofe-Damijo almaarufu RMD ametaja uteuzi wake kujiunga na bodi ya akademia inayofahamika kwa tuzo za...
Twitter yaweka kiwango cha jumbe ambazo kila mtumizi anaweza kuona na...
Watumizi wa kitandazi cha Twitter sasa wamewekewa kiwango cha jumbe au tweets za watu wengine ambazo wanaweza kufikia na kusoma kwa siku.
Mmiliki wa mtandao...
Geoffery Kwatemba ateuliwa naibu mwenyekiti wa bodi ya KAMP
Muungano wa watayarishaji muziki nchini Kenya yaani Kenya Association of Music Producers - KAMP umetangaza uteuzi wa aliyekuwa mtangazaji Geoffery Kwatemba kuwa naibu mwenyekiti...
Ezekiel Mutua amkosoa Ssaru kwa wimbo usio na maadili
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hakimiliki za Muziki Nchini, MCSK Daktari Ezekiel Mutua anaendelea kumkosoa mwanamuziki wa mtindo wa rap Sylvia Ssaru kwa wimbo...
Madonna aahirisha ziara baada ya kuugua
Mwanamuziki mkongwe wa Amerika Madonna Louise Ciccone, maarufu kwa jina lake moja Madonna, ameahirisha ziara yake wiki chache kabla ya tarehe iliyokuwa imewekwa baada...