Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1385 POSTS 0 COMMENTS

Azimio kufahamisha polisi kuhusu mikutano ya saba saba

0
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya kupitia kwa mwenyekiti wake Wycliffe Oparanya umesema kwamba utaandikia maafisa wa polisi waraka wa kuwafahamisha kuhusu mikutano...

TSC yatangaza nafasi elfu 20 za walimu wanagenzi

0
Tume ya Kuajiri Walimu Nchini, TSC imetangaza nafasi elfu 20 za walimu wanagenzi katika shule za umma za msingi na sekondari ya chini, JSS.  Kulingana...

Japani huenda ikamwaga baharini maji kutoka mtambo wa Fukushima hivi karibuni

0
Serikali ya Japani huenda hivi karibuni ikaanza kumwaga katika bahari ya Pasifiki maji yaliyotibiwa na kuzimuliwa ambayo bado yana mionzi kutoka kwenye mtambo wa...

Kesi ya Muturi kupinga uamuzi wa uteuzi wa mawaziri wasaidizi kutajwa...

0
Mwanasheria Mkuu Justin Muturi aliwasilisha mahakamani taarifa ya kupinga uamuzi wa mahakama kuu uliotolewa juzi Jumatatu na ambao ulibatilisha uteuzi wa nawaziri wasaidizi 50...

Meta yaunda mtandao sawia na Twitter

0
Meta kampuni inayomiliki mitandao ya kijamii kama vile Facebook, WhatsApp, na Instagram, imezindua mtandao mpya utakaoshindana na Twitter. Mtandao huo unaoitwa Threads, utazinduliwa rasmi...

Jerry Williams aondolewa kwenye chama cha waigizaji nchini Nigeria

0
Mwigizaji wa filamu nchini Nigeria Jerry Williams ameondolewa kwenye chama cha waigizaji nchini humo almaarufu Actors Guild Of Nigeria - AGN kutokana na hulka...

Mamake Jay Z afunga ndoa na mpenzi wake

0
Mama mzazi wa mwanamuziki Jay Z, Gloria Carter, alifunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Roxanne Wilshire Jumapili usiku jijini New York nchini...

Polisi wachunguza wizi wa vifaa katika bunge la kaunti ya Kisumu

0
Maafisa wa polisi wameanzisha uchunguzi kubaini walioingia bila idhini katika majengo ya bunge la kaunti ya Kisumu na kuiba runinga na vifaa vya sauti...

Mahakama Kuu: Uteuzi wa makatibu waandamizi 50 ulifanywa kinyume cha sheria

0
Mahakama Kuu imetangaza kuwa uteuzi wa makatibu waandamizi 50 ulifanywa kinyume cha sheria. Kwenye uamuzi wa jopo la majaji watatu wa mahakama hiyo uliotolewa...

Masomo kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yajumuishwa kwenye mtaala

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amesema wizara yake imeweka masomo kuhusu namna ya kushughulikia mabadiliko ya tabia nchi kwenye mtaala. Waziri Machogu anasema kwamba kupitia...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS