Marion Bosire
Ufadhili wa Shabana Fc waongezeka kufuatia ushindi
Mfadhili wa timu ya soka ya Shabana Fc ya Kisii ameahidi kuongeza ufadhili huo kutoka milioni 20 za awali kufuatia ushindi wa timu hiyo....
Watu 22 wauawa kwenye shambulizi la angani Sudan
Watu wapatao 22 wameripotiwa kufariki kufuatia shambulizi la angani katika mji wa Omdurman, nchini Sudan.
Shambulizi hilo linasemekana kuwa baya zaidi kuwahi kushuhudiwa nchini Sudan,...
Mameneja wa kampuni ya Brown Cheese wakamatwa na polisi
Mameneja wa kampuni ya Brown Cheese iliyoko Tigoni, kaunti ya Kiambu wamekamatwa na maafisa wa polisi.
Hii ni kufuatia ufichuzi wa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
Simple Boy asaka ubalozi wa NACADA
Mwanamuziki Stevo Simple Boy angependa kuhudumu kama balozi wa Shirika la Kupambana na Matumizi ya Mihadarati Nchini, NACADA.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hakimiliki za...
Meli za kivita za Urusi zawasili China
Meli mbili kubwa za kivita za Urusi zimewasili mjini Shanghai, China kwa ziara ya kwanza ya bandari ya meli hizo nchini China katika muda...
Mkutano kuhusu tabia nchi na usalama waanza Nairobi
Wadau katika maswala ya usalama na tabia nchi kutoka kote barani Afrika wanakongamana jijini Nairobi kwa ajili ya mkutano wa mwaka huu wa Berlin...
Mwimbaji wa asili ya China Coco Lee ameaga dunia
Mwanamuziki wa China Ferren Lee maarufu kama Coco Lee ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 48.
Dada zake wakubwa Carol na Nancy ndio walitoa...
Dhiki ya Simple Boy yaleta faraja
Msanii Stephen Otieno Adera maarufu kama Stevo Simple Boy sasa ana kila sababu ya kutabasamu baada ya mbunge wa eneo la Mumias Mashariki Peter...
Katibu Muthoni: Uwekezaji mwafaka utadumisha wahudumu wa afya Afrika
Katibu katika Wizara ya Afya nchini Mary Muthoni ametaka uwekezaji mwafaka ufanywe katika miundombinu ya afya, mafunzo, sera na mazingira bora ya utendakazi ili...
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai akamatwa
Mbunge wa Kitui Mashariki Nimrod Mbai amekamatwa na maafisa wa polisi kwa kitendo cha kumzaba kofi afisa wa kampuni ya umeme nchini, KPLC.
Taarifa zinaashiria...