Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1385 POSTS 0 COMMENTS

Serikali yasimamisha ukusanyaji data wa WorldCoin

0
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani imesimamisha mipango ya ukusanyaji data ya watu binafsi ambao unaendeshwa na kampuni ya World Coin na kampuni...

Lizzo ashtakiwa na waliokuwa wacheza densi wake

0
Mwanamuziki wa mtindo wa Pop Melissa Viviane Jefferson, maarufu kama Lizzo ameshtakiwa na watu watatu ambao awali walifanya naye kazi kama wanenguaji. Kesi hiyo iliwasilishwa...

Rais Ruto azomea waliochelewa kufika Ikulu

0
Rais William Ruto amezomea mawaziri, makatibu wa wizara na wasimamizi wa kampuni za serikali waliochelewa kufika Ikulu ya Nairobi kwa ajili ya hafla ya...

Aung San Suu Kyi asamehewa baadhi ya makosa

0
Aliyekuwa kiongozi wa Myanmar Aung San Suu Kyi ambaye aliwahi kushinda tuzo ya Nobel amesamehewa makosa matano kati ya yote 19 na jeshi la...

Watu wanne wakamatwa na pembe za ndovu Busia

0
Washukiwa wanne wanazuiliwa katika kituo cha polisi cha Busia baada ya kupatikana na vipande 10 vya pembe za ndovu. Vipande hivyo vina uzani wa kilo...

Eric Omondi amhamisha na kumfungulia biashara Victor Juma

0
Mchekeshaji Eric Omondi amemhamisha jamaa kwa jina Victor Omondi na familia yake kutoka mtaa wa Mathare na kumfungulia biashara ya kuuza viatu na nguo....

Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya amani Ukraine

0
Saudi Arabia inajiandaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa mazungumzo ya kutafuta amani nchini Ukraine. Mkutano huo utatathmini mpango wa Rais Volodymyr Zelenskyy wa kurejesha...

Polisi Meru washiriki mazungumzo na wanabodaboda

0
Maafisa wa polisi wa kaunti ndogo ya Igembe kaskazini katika kaunti ya Meru wameanzisha mpango wa kushirikisha waendeshaji pikipiki za uchukuzi almaarufu bodaboda, kwa...

Jeshi la Uganda laripoti ajali ya ndege yake

0
Jeshi la ulinzi nchini Uganda kupitia kwa msemaji wake limetoa taarifa inayoelezea kuhusu ajali ya ndege ya jeshi la wanaanga katika eneo la Karamoja. Taarifa...

Kenya kutuma polisi Haiti kurejesha utulivu

0
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Daktari Alfred Mutua amesema Kenya imejitolea kutuma maafisa wake wa polisi wapatao 1000 nchini Haiti wakasaidie kutoa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS