Marion Bosire
Snoop Dogg afutilia mbali tamasha kuunga mkono waigizaji na waandishi wanaogoma
Mwanamuziki wa Marekani Snoop Dogg ametangaza kufutiliwa mbali kwa tamasha la Hollywood Bowl kutokana na mgomo unaoendelea hivi sasa wa waandishi wa miswada ya...
Mtu mmoja afariki baada ya kimbunga kuathiri Ufilipino
Mtu mmoja amethibitishwa kufariki baada ya kimbunga kwa jina Doksuri kuathiri upande wa kaskazini wa nchi ya Ufilipino.
Kimbunga hicho chenye upepo wa kasibya kilomita...
Rais Ruto asema yuko tayari kujadiliana na Raila Odinga
Kiongozi wa nchi ya Kenya Rais William Ruto amesema kwamba yuko tayari kwa majadiliano na kiongozi wa upinzani Raila Odinga.
Haya yanajiri muda mfupi baada ya...
Afisi ya Mke wa Rais kutekeleza mipango ya kuinua muziki
Afisi ya Mke wa Rais Rachel Ruto kupitia kwa shirika lake la Mama Doing Good inapanga kuandaa hafla za kuinua talanta ya muziki katika...
Tamasha ya Kileleshwa
Wakazi wa wadi ya Kileleshwa kaunti ya Nairobi, kupitia kwa shirikisho lao linalofahamika kama KIWANA wamepanga tamasha ya kwanza kabisa kwa jina "KileFest" kwa...
Waziri Linturi asema Kenya imejitolea kuhakikisha uwepo wa chakula
Waziri wa kilimo na ufugaji Mithika Linturi amesema serikali ya Kenya imejitolea kuhakikisha uwepo wa chakula salama na bora kwa wote kwa kuwianisha mipango...
Mabalozi kutoa ripoti kila mwezi kuhusu utangazaji wa bidhaa za Kenya
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kwamba mabalozi wa Kenya watakuwa wakitoa ripoti ya kila mwezi kuelezea hatua walizochukua kutangaza bidhaa za Kenya katika nchi...
Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Mali
Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo maafisa watatu wa serikali ya Mali kwa kile ilichokitaja kuwa kusaidia kupanuka kwa kundi la mamuluki la Wagner kutoka...
Wazee wa vijiji kupokea marupurupu
Kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa imeidhinisha kutolewa kwa shilingi bilioni 4 kila mwaka ambazo zitatumika kuwapa wazee wa vijiji marupurupu ya kila...
Muungano wa Azimio wafutilia mbali maandamano
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umetangaza kufutiliwa mbali kwa maandamano ambayo yalikuwa yamepangwa kuandaliwa kesho Jumatano.
Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, muungano...