Marion Bosire
Waziri Nakhumicha: Malipo ya NHIF yatapungua hadi shilingi 300
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema ada za bima ya matibabu, NHIF zitapungua hadi shilingi 300 kuanzia mwezi Septemba mwaka huu.
Kulingana naye, hii ni...
Waziri Owalo azindua mtandao wa Wi-Fi Ukunda
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Digitali Eliud Owalo amezindua mtandao wa Wi-Fi katika soko la Ukunda, eneo bunge la Msambweni kaunti ya...
Marufuku dhidi ya mwigizaji Jerry Williams yaondolewa
Chama cha waigizaji nchini Nigeria almaarufu Actors Guild of Nigeria - AGN kimeondoa marufuku iliyowekwa dhidi ya mwigizaji Jerry Williams.
Uanachama wa Williams kwenye AGN...
Kenya kuandaa kongamano la Afrika la afisi za bajeti bungeni
Bunge la Kenya litaandaa awamu ya sita ya kongamano la mtandao wa Afrika wa afisi za bajeti bungeni baadaye mwezi huu jijini Mombasa.
Kongamano hilo...
Viongozi Mandera wakana madai ya wenyeji kufurusha walimu
Viongozi wa kaunti ya Mandera wamekanusha madai kwamba wenyeji hushirikiana katika kufurusha walimu wasio wenyeji wa kaunti hiyo.
Walisema kundi la kigaidi la Al-Shabaab ambalo...
Navalny ahukumiwa miaka 19 gerezani
Mkosoaji mkuu wa serikali ya Urusi hasa kuhusu uvamizi wake nchini Ukraine Alexei Navalny amehukumiwa kifungo cha miaka 19 gerezani na mahakama moja ya...
Koskei asema serikali itahudumia Wakenya wote kwa usawa
Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema serikali ya Rais William Ruto itaendelea kuwahudumia Wakenya wote kwa usawa bila kuzingatia miegemeo yao ya...
Awamu ya pili ya maonyesho ya ujenzi Uganda kuandaliwa mwezi huu
Awamu ya pili ya maonyesho ya vifaa vinayotumiwa katika ujenzi nchini Uganda itaandaliwa mwezi huu kati ya tarehe 10 na 12 Agosti, 2023, katika...
Bazoum aonya jumuiya ya kimataifa kuhusu mapinduzi Niger
Rais aliyeondolewa mamlakani nchini Niger Mohamed Bazoum ameiomba jumuiya ya kimataifa ichukue hatua za haraka kuirejesha serikali yake mamlakani.
Anasema iwapo mapinduzi yaliyotekelezwa na wanajeshi...
Trump akanusha mashtaka dhidi yake
Aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump jana Alhamisi alikanusha mashtaka manne ya uhalifu dhidi yake katika mahakama ya E. Barrett Prettyman iliyoko jijini Washington...