Marion Bosire
Mabalozi kutoa ripoti kila mwezi kuhusu utangazaji wa bidhaa za Kenya
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kwamba mabalozi wa Kenya watakuwa wakitoa ripoti ya kila mwezi kuelezea hatua walizochukua kutangaza bidhaa za Kenya katika nchi...
Marekani yawawekea vikwazo maafisa wa Mali
Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo maafisa watatu wa serikali ya Mali kwa kile ilichokitaja kuwa kusaidia kupanuka kwa kundi la mamuluki la Wagner kutoka...
Wazee wa vijiji kupokea marupurupu
Kamati ya bajeti katika bunge la kitaifa imeidhinisha kutolewa kwa shilingi bilioni 4 kila mwaka ambazo zitatumika kuwapa wazee wa vijiji marupurupu ya kila...
Muungano wa Azimio wafutilia mbali maandamano
Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umetangaza kufutiliwa mbali kwa maandamano ambayo yalikuwa yamepangwa kuandaliwa kesho Jumatano.
Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, muungano...
Binamuye Sagini ahukumiwa kifungo cha miaka 40
Binamu wa mtoto Sagini kwa jina Alex Ochogo amehukumiwa kifungo cha miaka 40 gerezani kwa kosa la kumng'oa macho mtoto huyo.
Shangazi ya Sagini aitwaye...
Viongozi wa dini walalamikia uamuzi wa serikali wa kutosajili makanisa zaidi
Muungano wa makanisa na viongozi wa dini nchini CCAK, umelalamikia uamuzi wa serikali wa kukomesha usajili wa makanisa na mashirika zaidi ya kidini nchini.
Mwenyekiti...
Bahati alalamikia utawala wa wanamuziki wa Tanzania nchini Kenya
Mwanamuziki Kelvin Kioko maarufu kama Bahati analalamika kufuatia kupendeka kwa muziki wa wanamuziki wa nchi jirani Tanzania nchini Kenya.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii...
Ushindani kati ya Cindy Sanyu na Sheebah Kalunji waendelea
Ushindani kati ya wanamuziki wa kike wa Uganda Cindy Santu na Sheebah Kalunji unaendelea kudhihirika.
Cindy Sanyu ametangaza kwamba ataandaa tamasha lake tarehe ambayo Sheebah...
Viongozi wa mashinani Siaya kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza
Viongozi wa mashinani katika kaunti ya Siaya wamekubaliana kwa kauli moja kuunga mkono serikali ya Kenya Kwanza inayoongozwa na rais William Ruto.
Walikuwa wakizungumza kwenye...
Maandamano: Wazee wa jamii ya Luo wawakosoa polisi
Baraza la wazee la jamii ya Luo limelaani kile kinachosemekana kuwa hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi dhidi ya waandamanaji mjini...