Home Authors Posts by Marion Bosire

Marion Bosire

Marion Bosire
1385 POSTS 0 COMMENTS

Marekani yasitisha usaidizi wa kifedha kwa Niger

0
Marekani imetangaza kusitishwa kwa misaada ya kifedha kwa taifa la Niger kufuatia mapinduzi. Haya yalisemwa na kaimu naibu waziri wa mambo ya nje nchini...

Mudavadi awasili Uganda kwa kongamano la kahawa

0
Waziri aliye na mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewasili jijini Kampala nchini Uganda kwa awamu ya pili ya kongamano la viongozi wa nchi za Afrika,...

Umoja wa Mataifa waamuru kesi dhidi ya Kabuga isimamishwe

0
Majaji wa rufaa wa umoja wa mataifa wameamuru kwamba kesi ya makosa ya kivita dhidi ya mshukiwa wa mauaji ya halaiki nchini Rwanda Felicien...

Kiongozi wa wengi Nyamira afariki katika ajali

0
Kiongozi wa walio wengi katika bunge la kaunti ya Nyamira, aliye pia mwakilishi wa wadi ya Nyamaiya Elijah Osiemo Thomas amefariki kwenye ajali ya...

Wiki ya kitaifa ya vijana yazinduliwa

0
Wizara ya Masuala ya Vijana, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano na asasi nyingine za serikali imezindua wiki ya kitaifa ya vijana mwaka 2023. Uzinduzi huo...

Alex Lemarkoko ateuliwa kuwa mhifadhi mkuu wa misitu

0
Alex Lemarkoko ndiye mhifadhi mkuu wa misitu humu nchini. Aliteuliwa kwa wadhifa huo kupitia mpango uliotekelezwa na bodi ya huduma ya kutunza misitu nchini...

Wakenya wahakikishiwa usalama wa data yao

0
Serikali imehakikishia wakenya kwamba imejitolea katika kuhakikisha ulinzi wa hali ya juu wa data yao. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo...

Yoni Pearls zapigwa marufuku

0
Bodi ya Dawa na Sumu humu Nchini, PPB imeonya umma dhidi ya matumizi ya bidhaa kwa jina "Yoni Pearls" ambazo huaminika kusaidia kutoa uchafu...

Niger: Viongozi wa mapinduzi wafunga anga

0
Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wamefunga anga ya nchi hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kukataa kutii makataa ya nchi za Afrika...

Viongozi waombwa watangulize maslahi ya Wakenya

0
Viongozi walioteuliwa kuwakilisha mirengo ya kisiasa ya Kenya Kwanza na Azimio la Umoja One Kenya kwenye mazungumzo ya maridhiano wameombwa watangulize maslahi ya Wakenya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS